umeniita muasherati au sijaelewa vema comment yako?Before you seal the deal nyie asherati you have to deal with details of the deal !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umeniita muasherati au sijaelewa vema comment yako?Before you seal the deal nyie asherati you have to deal with details of the deal !
Futa neno free! Breakfast lunch dinner includsive kwenye 100000 boarding rate!Kama hutojali kafikie nyegezi karibu na jembe beach kuna hotel inaitwa semanene ni ya maana kweli na pametulia alongside beach......wanazo room za 100,000....80,000 na 60,000
100,000 unapewa breakfast, lunch, evening coffee pamoja na dinner for free
80,000 unapata breakfast, lunch na evening coffee tu
60,000 ni breakfast tu
Lakini they offer a very good service...
Labda sababu iwe ni kupanua eneo la stesheniDuuuh mbna iko mbali na reli mana kabla ya ryan kuna railway police n mwanza insitute
yes wacha watengeneze kodi we ndenda kule wanapiga chabo.............. ndo panakuhusuuDah aiseee, ni pazuri ila wana bei sana. Na wageni wengi huwa ni wazungu na wahindi.
Usilolijua........ nshalala sana hapo basi km ulikuwa hujui.yes wacha watengeneze kodi we ndenda kule wanapiga chabo.............. ndo wanakuhusuu
Wanajukwaa kwa masikitiko makubwa, habari zisizo rasmi "tetesi" ni kuwa Hotel ya kitalii ya RYANS BAY iliyopo jijini Mwanza itabomolewa kupita eneo la Reli.
Mwenye habari kamili atuhabarishe...
Sidhani..maana iko mbali na reli bwana.ukitoka kituo cha reli unaenda nyumba nyingine mbele then ndo unafika hotelini hapo na hata upande wa kule ziwani bado iko mbali.pale yataliwa makazi ya Shafik,makaburi ya wahindi,upande wa kiwanda cha Vicfish na ile GBP kituo ya mafuta,matenki ya BP pia na si hiyo Ryans Bay Hotel.Wanajukwaa kwa masikitiko makubwa, habari zisizo rasmi "tetesi" ni kuwa Hotel ya kitalii ya RYANS BAY iliyopo jijini Mwanza itabomolewa kupita eneo la Reli.
Mwenye habari kamili atuhabarishe...
Dar nusu kilo ni buku sasa jiulize kilo itakuwa sh ngapiHuo unga bei juu umeulizia maana hata 1400 kwa kilo haufiki sasa hivi
Such a classical moron! Kwa hiyo 1400 is a chicken feed, huh?Huo unga bei juu umeulizia maana hata 1400 kwa kilo haufiki sasa hivi
Mkuu, kwa mwandiko wako mke wako ana kheri ajabu! Mash Allah!Hahaha usijali mkuu, kawaida
kwa nini mkuu??Mkuu, kwa mwandiko wako mke wako ana kheri ajabu! Mash Allah!