Hoteli mpya Tanzania, wateja hulipa shilingi milioni 22 kwa usiku mmoja

Ngoja kwanza tuko bise na Vyeti vya Makonda ndiyo muhimu kwa taifa hili kuliko hilo la visiwa kuporwa wenye Vyeti vzr watakuja kuokoa hivyo visiwa baadaye.
 
Hicho kisiwa kilikua ni kituo cha wavuvi hapo nyuma, ambapo walikua wanaweka kambi au kupumzika wakati wa kuchafuka hali ya hewa, kutengeneza zana zao n.k, mara baada ya kubinafsishwa hawaruhusiwi hata kusogea karibu
 
mkuu au nyie ndo mmebadili matumizi yake
 
daaaah bado kuuzwa sisi tu lakin rasilimali zetu zotee zipo kwenye makaratasi yawazungu uko
 
Subiri sisi tunamjadili Makonda kwanza.

Tuna mkaribisha mwanachama mpya wema sepetu kwanza.

Na vilevile tunadeal na lema kwanza!
 
Kubadili jina ni halali yake kama ni private owner, sijaelewa kama ameuziwa au amekodi natamani kujua hilo.

Kwani kuna visiwa watu wamenunua huko Caribbean na Canada kuna za $600,000 mpaka za ghali zaidi inategemea kama ni kisiwa kitupu au kiliendwlelezwa na mtu kuamua kuuza.

Je kwetu tunauza visiwa au tunakodi
 
Sheria za Tanzania mmiliki wa radhi ni serikali, unaweza kumiliki ardhi tu, lakini ni mali ya serikali siku yoyote inaweza kuchukua ardhi yake na kukufutia hati miliki.
 
Kwahiyo wewe unatakaje, au ndo unaazisha umbea Kama kawaida ya waswahili ?!
 
Wapaite Thanda au Shungumbili si cha muhimu sana, cha muhimu ni wanalipa kodi, watanzania wangapi wanapata ajali, na wanavutia watalii kiasi gani kuwezesha watu wengine pia kupata indirect income.
WaTz tuache majungu majungu na fitna, hizo hoteli zikianza kufungwa ni nongwa, zikijengwa nongwa pia, mswahili mswahili tu, kazi kulalamika na kuchambana.
 
Mimi nikuwepo Siku ya uzinduzi na niliandika stories Daily News, hichi kisiwa serikali imeingia mkatana wa uwekezaji kwa hiyo kampuni kwa miaka 20, na inapata fedha take ya kodi kubwa tu. Na ilichukua miaka 10 hadi serikali kufikia makubaoiano na muwekezaji. Kisiwa hiki hakijauzwa ni uwekezaji was miaka 20. Ukifika Mafia kuna boti ya kukupeleka kisiwani hapo mwendo wa saa moja. Kisiwa chote kimetosha hiyo hotel ambayo inavyumba viwili na ukikodi unaikodi yote kama una familia na wafanyakazi au marafiki.
 
Hotel ipo MAFIA simu ni Code ya South Africa????????????? hapa kuna jambo!!!!!! TRA nadhani watafanya jambo hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…