Hoteli mpya Tanzania, wateja hulipa shilingi milioni 22 kwa usiku mmoja

Hoteli mpya Tanzania, wateja hulipa shilingi milioni 22 kwa usiku mmoja

Ngoja kwanza tuko bise na Vyeti vya Makonda ndiyo muhimu kwa taifa hili kuliko hilo la visiwa kuporwa wenye Vyeti vzr watakuja kuokoa hivyo visiwa baadaye.
 
Hicho kisiwa kilikua ni kituo cha wavuvi hapo nyuma, ambapo walikua wanaweka kambi au kupumzika wakati wa kuchafuka hali ya hewa, kutengeneza zana zao n.k, mara baada ya kubinafsishwa hawaruhusiwi hata kusogea karibu
 
Mie binafs nishafika hapo kisiwani, nilikuwa Mafia kikazi na ikatokea kuwa kuna usafiri wa kufika hapo shungimbili so kwa sababu nilikuwa na watu wenye majina yao hapo nikawa nimefika na kutalii hapo kisiwani na nimeenda zaidi ya Mara kumi hivi, kwakweli ni pazuri sana afu hakukuwa na makazi before zaidi ya kambi tu za wavuvi hasa wa kutokea kisiwa cha Mafia, ukweli ni kwamba jina la kisiwa halijabadilika kwa maana ya halmashauri ya wilaya na hata ramani zinatambua hapo ni shungimbili, Thanda ni jina la hotel tu na wanapotangaza biashara yao wanaita thanda island haimaanishi kuwa kisiwa kimebadilishwa jina... Ni umaarufu tu wa hotel yenyewe na jina lake..
mkuu au nyie ndo mmebadili matumizi yake
 
daaaah bado kuuzwa sisi tu lakin rasilimali zetu zotee zipo kwenye makaratasi yawazungu uko
 
Subiri sisi tunamjadili Makonda kwanza.

Tuna mkaribisha mwanachama mpya wema sepetu kwanza.

Na vilevile tunadeal na lema kwanza!
 
Kubadili jina ni halali yake kama ni private owner, sijaelewa kama ameuziwa au amekodi natamani kujua hilo.

Kwani kuna visiwa watu wamenunua huko Caribbean na Canada kuna za $600,000 mpaka za ghali zaidi inategemea kama ni kisiwa kitupu au kiliendwlelezwa na mtu kuamua kuuza.

Je kwetu tunauza visiwa au tunakodi
 
Sheria za Tanzania mmiliki wa radhi ni serikali, unaweza kumiliki ardhi tu, lakini ni mali ya serikali siku yoyote inaweza kuchukua ardhi yake na kukufutia hati miliki.
 
Kisiwa cha Shungimbili ambacho mmiliki/mwekezaji amebadilisha jina nakukiita Thanda kilichopo Tanzania Wilaya ya Mafia kusini mwa nchi, ndicho ghali zaidi duniani kwa binadamu kuishi, Gharama zake ni dola elfu kumi (10,000$) za kimarekani kwa siku sawa na Shiling milioni ishirini za Kitanzania kwa siku. Sharti ni lazima uweke oda ya kukaa kwa siku saba, hivyo ni milioni ishirini mara saba ambayo ni sawa na milioni miamoja na arobaini kwa oda moja.

Kisiwa hiki kinamilikiwa na kampuni ya utalii ya Zululand toka Afrika Kusini, ambapo kuna Hoteli yenye hadhi ya kidunia.

Haifahamiki kampuni hiyo inalipa kodi kiasi gani katika Serikali ya Tanzania, ama ilishauziwa eneo hilo la ardhi ya Tanzania. Taarifa isiyo rasmi inasema kuwa mmiliki wa kisiwa hicho amepewa hati ya umiliki/uwekezaji kwa miaka 66.

Na Yericko Nyerere

Lifestyle [HASHTAG]#Wanderlust[/HASHTAG]
8/25/2016 @ 12:29AM9,919 Views
Thanda Island: Tanzania's $10,000-A-Night Private Retreat
91a96ac9114208fe1f34f12061bb8542
Ann Abel , CONTRIBUTOR


thanda-island-1200x800.jpg


This story appears in the September 13, 2016 issue of Forbes. Subscribe

GALLERY
A Private Beach Playground on Thanda Island in Tanzania
Launch Gallery
9 images

It was Ernest Hemingway who lured Dan Olofsson to Africa. “I read all his books,” says the Swedish technology entrepreneur who heads the consultancy Sigma, and they lodged in his imagination.

So when he and his wife, Christin, decided in the early 2000s to build a winter home someplace warmer than their native Scandinavia, they considered the Caribbean but eventually set their sights farther south. “There’s fantastic wildlife and nature in South Africa,” the 65-year-old Olofsson says. “You don’t have that in a lot of places.”





Their plans grew to include a guest lodge at what is now the well-regarded Thanda Safari Private Game Reserve, which opened in 2004. (“Thanda” is Zulu for “love.”) Soon after, the Olofssons set out to acquire a private-island counterpart to their safari lodge and settled on one in the Shungi Mbili Island Marine Reserve in southern Tanzania. After years of negotiation and sustainability-minded construction it was rechristened Thanda Island and welcomed its first paying guests in August.




The property, which has five bedrooms and rents in its entirety for $10,000 a night (for up to ten people), is roughly 20 acres ringed by coral reefs in protected waters that teem with sea life, including whale sharks, dolphins and five species of turtles. The closest inhabited land is Mafia Island, home to more spectacular marine life, trustworthy dive centers and traditional villages. Thanda Island’s hospitality director, Antigone Meda, likens it to Zanzibar 30 years ago—and while Zanzibar now has 200-room hotels, Mafia has about 200 hotel rooms. (Thanda guests who don’t helicopter in from Dar es Salaam fly to Mafia, where Thanda staff greet them and ferry them over in a sleek mahogany boat that would do James Bond proud.)

The Olofssons envisioned the island as a private paradise where they could escape with their three children and eight grandchildren. But the Tanzanian government wouldn’t let them buy it unless it would contribute to tourism in the country and protect marine wildlife. The couple complied but remained committed to building a private family home. And here they were inspired by another 20th-century American icon.





“We were at the Kennedy compound in Hyannis Port around the Fourth of July three or four years ago,” Olofsson recalls. “Looking around, we liked the New England style. Our South African property is more Zulu style. Here we wanted something different, and we decided on New England.” The resulting house on Thanda, with its white wainscoting, peaked rooflines and pastel palette, mixes the American and the Scandinavian, with a few African flourishes like bird’s-nest lamps in the living room and colorful fabric on the chairs in the library.

The design is intentionally hard to classify. Olofsson invested millions—”Less than 10,” he clarifies, though he is unsure of the exact amount—to build something that exists in very few places in the world. That’s in addition to the island itself, with its perfect white sand and clear turquoise waters just feet away from the house.

The Olofssons were very hands-on with the villa and two freestanding beach bandas (open-air bungalows, which allow the island to accommodate groups of up to 28 people), with Christin designing the interiors and Dan, a civil engineer by training, collaborating with the architects. He was also the visionary behind the villa’s most striking feature, a glass rim-flow swimming pool that gleams with blue mosaic tiles and rises up from the deck to form a luminous cube. “This pool was quite exciting to design,” he says. “I felt like I was just out of university, even though that was 40 years ago.”

The house and pool on Thanda Island





The food is far better than might be expected in such a remote location. Much of it is caught nearby. Staff will harvest some of the abundant oysters on demand and serve them with champagne. While importing luxury foods and wine comes with a carbon footprint, the island was designed to be self-sufficient. It’s constructed with sustainable materials, and there’s a field of solar panels and a desalinization plant. The house and all its infrastructure were also built in such a way that would allow them to be taken apart and leave no trace on the island.

That eco-consciousness is important to Olofsson, who has invested heavily in conservation in the marine reserve. Thanda is working with the Tanzania Marine Parks department and a leading NGO, Sea Sense, on research projects involving sea turtles, whale sharks and coral reefs. It’s a continuation of the commitment Olofsson, the biggest Swedish philanthropist in Africa (and plenty generous at home), made when he established the Thanda Foundation in South Africa in 2005. Among other achievements, its Star for Life arm has put 110,000 children through HIV-prevention education programs. “We are at a point in our lives where we’re able to give back to society, and I think when you’re there, you have to do it,” he says.

While Thanda has made a point of hiring most of its staff from Mafia Island and is working to improve education there, marine conservation is the main focus. Not that guests would suspect that much of the wildlife is on the endangered species list. There are frequent turtle and dolphin sightings on the boat ride from Mafia, and it’s not uncommon for guests to find themselves swimming among half a dozen whale sharks, the biggest fish in the sea.

That, it turns out, is Thanda Island’s greatest luxury: the access to such an ecosystem—and a solicitous staff to make it easier to commune with it. (They’ll even drag a copper bathtub onto the beach for a sunset soak.) “Being a big family on an island to yourself,” Olofsson says, “there is a special feeling to that.”





And if it’s a rainy day, there’s still plenty to enjoy—Thanda Island is home to what was the largest Hemingway collection in Sweden, now sitting on shelves spanning 20 feet in a clean, well-lighted place.








View attachment 475195
Kwahiyo wewe unatakaje, au ndo unaazisha umbea Kama kawaida ya waswahili ?!
 
Wapaite Thanda au Shungumbili si cha muhimu sana, cha muhimu ni wanalipa kodi, watanzania wangapi wanapata ajali, na wanavutia watalii kiasi gani kuwezesha watu wengine pia kupata indirect income.
WaTz tuache majungu majungu na fitna, hizo hoteli zikianza kufungwa ni nongwa, zikijengwa nongwa pia, mswahili mswahili tu, kazi kulalamika na kuchambana.
 
Mimi nikuwepo Siku ya uzinduzi na niliandika stories Daily News, hichi kisiwa serikali imeingia mkatana wa uwekezaji kwa hiyo kampuni kwa miaka 20, na inapata fedha take ya kodi kubwa tu. Na ilichukua miaka 10 hadi serikali kufikia makubaoiano na muwekezaji. Kisiwa hiki hakijauzwa ni uwekezaji was miaka 20. Ukifika Mafia kuna boti ya kukupeleka kisiwani hapo mwendo wa saa moja. Kisiwa chote kimetosha hiyo hotel ambayo inavyumba viwili na ukikodi unaikodi yote kama una familia na wafanyakazi au marafiki.
 
Hotel ipo MAFIA simu ni Code ya South Africa????????????? hapa kuna jambo!!!!!! TRA nadhani watafanya jambo hapa
 
Back
Top Bottom