Hoteli mpya Tanzania, wateja hulipa shilingi milioni 22 kwa usiku mmoja

Hoteli mpya Tanzania, wateja hulipa shilingi milioni 22 kwa usiku mmoja

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
1472497881636.jpg
Hoteli hii iko katika kisiwa cha Thanda kusini mwa Tanzania, ina vyumba 5 vya kulala ambapo itakugharimu shilingi milioni 22 kulala hapo kwa usiku mmoja.

Hoteli hii inakadiriwa kuwa na ukubwa wa ekari 20 ikiwa imezungukwa na viumbe mbalimbali wakuvutia waliomo ndani ya maji.

Hoteli hii inapakana na kisiwa cha Mafia, unaweza kufika kwa kutumia helikopta kutokea Dar es salaam, au kwenda kwa ndege hadi Mafia na kisha kutumia Boti maalum kwa ajili ya wateja.

Ukiwa katika hoteli hii unaweza kufurahia mambo mbalimbali kama kuogelea, uvuvi, diving.

Hoteli hii inamilikiwa na Christin na Dan Olofsson kutoka nchini Sweden. Walikuwa na ndoto za kutafuta eneo ambalo halijakaliwa na watu na kutengeneza sehemu tulivu ya kupumzika na ndipo wakalipata eneo hilo Tanzania.
 
Mbona hii picha kama sio Tz?Inaitwaje hebu weka jina lake tui-google!
 
Jina la hotel mkuu.
Nataka nikapunge upepo sikukuu ya Idd
Kupunga upepo bila shaka bure.
Ntapiga picha za kufa mtu.
1472507777924.jpg
andika Thanda Island usome zaidi
 
na ile myingine hapo pemba visiwani inamilikiwa na waswede pia,ambayo ina aquarium room.dola zaidi 1000 pd
 
Back
Top Bottom