Hoteli ya Kichina iliyodaiwa kukataza Watanzania kuingia ndani ya hoteli yao, watoa tamko la kujitetea!

Hoteli ya Kichina iliyodaiwa kukataza Watanzania kuingia ndani ya hoteli yao, watoa tamko la kujitetea!

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Wakuu,

Baada ya kupiga sana kelele humu na huko X kuhusu ile hoteli ya Kichina ambayo ilikuwa inazuia watu weusi, hatimaye hoteli hiyo imetoa tamko.

Wamesema kuwa huyo mlinzi ni wa "kampuni ya nje" na kwamba alikuwa "hana mafunzo ya kutosha"

Kwangu mimi naona hii barua ni "risk management" na "PR stategy" ya kujisafisha.

Inawezekana vipi huyu mlinzi aseme kitu kama hiki out of nowhere?

Soma pia: Video: Huu kama sio ukoloni ni nini? Wachina waanzisha hoteli ambazo Mtanzania huruhusiwi kuingia

Inavyoonekana hii ilikuwa ni policy ya hii hoteli lakini huwa wanaifanya kwa kificho.

Ndo ile unaenda kwenye hoteli unaambiwa wako kwenye kikao au kuna event inafanyika lakini in reality hawataki uingie. Huyu mlinzi alichofanya ni kusema ukweli kuwa watu weusi hamtakiwi, instead ya kuleta visingizio

Hii excuse ya kwamba huyo mlinzi alikuwa "hana mafunzo" ya kutosha haikubaliki.

Again, Chinese are existential threat in our country


guangdong.png
 
Wakuu,

Baada ya kupiga sana kelele humu na huko X kuhusu ile hoteli ya Kichina ambayo ilikuwa inazuia watu weusi, hatimaye hoteli hiyo imetoa tamko.

Wamesema kuwa huyo mlinzi ni wa "kampeni ya nje" na kwamba alikuwa "hana mafunzo ya kutosha"

Kwangu mimi naona hii barua ni "risk management" na "PR stategy" ya kujisafisha.

Inawezekana vipi huyu mlinzi aseme kitu kama hiki out of nowhere?

Soma pia: Video: Huu kama sio ukoloni ni nini? Wachina waanzisha hoteli ambazo Mtanzania huruhusiwi kuingia

Inavyoonekana hii ilikuwa ni policy ya hii hoteli lakini huwa wanaifanya kwa kificho.

Ndo ile unaenda kwenye hoteli unaambiwa wako kwenye kikao au kuna event inafanyika lakini in reality hawataki uingie. Huyu mlinzi alichofanya ni kusema ukweli kuwa watu weusi hamtakiwi, instead ya kuleta visingizio

Hii excuse ya kwamba huyo mlinzi alikuwa "hana mafunzo" ya kutosha haikubaliki.

Again, Chinese are existential threat in our country


No siwakatalii kabisa.

Walinzi wengi wana upuuzi huo wa kujipendekeza kimaamuzi na kuzuia watu kuingia.

Kuna mlinzi mmoja nilishampiga makofi live kabisa kwa kunizuia kuingia sehemu wakati mimi nina appointment na boss mkuu wa hapo.

Kwa waliopo dar watanielewa, hata kwenye viwanja vikali ni haohao walinzi na mabaunsa wanaleta viherehere aina hio.
 
huwajui wabongo! Watapanga Rooms kwa ajili ya kulala tu, watakula mitaani ht kwa Mama Ntilie
Wanaweka vutanda vina magodoro mebamba kama ya movie za shaurin temple. Wakija wanawapa hizo room wakidai yani ni mwendo wa kichina china...
 
hawa wasengerema wanadai mlinzi alikua hajui maamae walay chezea kutakiwa waondoke saa24 nini, umbwa wote wanakana kuwa hamna ubaguzi inatakiwa tuwe serious kama hivi vinginevyo tutaendelea kuchezewa tu
 
Again, Chinese are existential threat in our country

Sio existential.

Tutaendela ku exist. Lakini tutakuwa manamba wa kuzoa taka ngumu za Wachina.

Kama ilivyokuwa S. Afrika, kama ilivyokuwa Tanganyika 1960 kwenda nyumba.

Which begs the question, kama tunaona poa kuwa vi mbwa vya Mchina, kwa nini tulidai uhuru ??????

Ukisema existential threat watu wanaona aah, kumbe hakuna tatizo, ni uongo. Tutaacha ku exist kivipi, tunatoweka tunaenda wapi ? Wanatumaliza kivipi ?

Tuta exist kama Wazulu wa S. Afrika. Nyani, maji taka, vimada wa wachina.
 
Back
Top Bottom