Hoteli ya Kichina iliyodaiwa kukataza Watanzania kuingia ndani ya hoteli yao, watoa tamko la kujitetea!

Hoteli ya Kichina iliyodaiwa kukataza Watanzania kuingia ndani ya hoteli yao, watoa tamko la kujitetea!

Ni kweli.
mtu anaenda na ki vitz kimechoka, huyo hata kula konokono hawezi bei yake, halafu analalamika
Mbona kuna mahoteli mengi ya kishua huko masaki, hayana bei ya vyakula kwenye menu wanaogopa kwenda.....
Aaah wabongo utawaweza Kwa unafiki na kulalamika? Bora walivyofukuzwa
 
Mbona mnakuwa km makahaba? Mtu biashara ya kwake kwanini ulazimishe kuingia? Si uende hoteli nyingine. Hata wahindi wana club zao miji mikubwa km Arusha zimeandikwa "for members only" acheni uchawi heshimu sera za watu, mnataka muingie humo na mauchafu yenu? Mbn mabwege hivyo? Mko km nyumbu kila kitu kulalamika
Si akafanye kwao yani mpangaji anipangie kuingia kwangu
 
Hapo waweke tu kibao "members only" kama Yatch Club, kuzimisha viherehere....
Zanzibar nilienda nikataka ku test hotel moja pale forodhani kuwa ina ubaguzi hawataki waafrika wanataka wazungu tu nikaamua leo ni leo watanikoma naenda kula pale na hela nilikuwa nayo bila kujali wataniuzia bei gani

Aisee kama vile wana mashetani ile naingia meza tupu zote wakasambaza vibao vya reserved kila meza tupu ili nikose pa kukaa

Wakasema sorrry all tables are reserved la nilitukana matusi mabaya yote kimoyomoyo

Nikakosa ushahidi wa ubaguzi wao lakini nikauliza machinga jirani na pale akaniambia hakuna cha reserved tables wala nini ndio zao hao lengo kukudhibiti mswahili ngozi nyeusi usikae pale

Kuwa akufukuzaye hakwambii toka
 
Kwa kawaida Binadamu huwa hawapendi kujichanganya na Nyani
 
Wakuu,

Baada ya kupiga sana kelele humu na huko X kuhusu ile hoteli ya Kichina ambayo ilikuwa inazuia watu weusi, hatimaye hoteli hiyo imetoa tamko.

Wamesema kuwa huyo mlinzi ni wa "kampuni ya nje" na kwamba alikuwa "hana mafunzo ya kutosha"

Kwangu mimi naona hii barua ni "risk management" na "PR stategy" ya kujisafisha.

Inawezekana vipi huyu mlinzi aseme kitu kama hiki out of nowhere?

Soma pia: Video: Huu kama sio ukoloni ni nini? Wachina waanzisha hoteli ambazo Mtanzania huruhusiwi kuingia

Inavyoonekana hii ilikuwa ni policy ya hii hoteli lakini huwa wanaifanya kwa kificho.

Ndo ile unaenda kwenye hoteli unaambiwa wako kwenye kikao au kuna event inafanyika lakini in reality hawataki uingie. Huyu mlinzi alichofanya ni kusema ukweli kuwa watu weusi hamtakiwi, instead ya kuleta visingizio

Hii excuse ya kwamba huyo mlinzi alikuwa "hana mafunzo" ya kutosha haikubaliki.

Again, Chinese are existential threat in our country


Hivi mavyakula ya kichina kama nyoka,paka,konokono nk watu wanalilia kwenda kuyala au ni chuki tu kwa huhaa.
 
Me naona wako sahihi tu kama ni only Chinese foods, maana bado mngelishwa chura na nyoka mngelalamika.

Wanapaswa kuweka bango kuubwa la Kiswahili, kichina, Kiingereza, likisoma kwa Kiswahili " TUNAUZA VYAKULA VYA KICHINA TU"
 
Ni kweli.
mtu anaenda na ki vitz kimechoka, huyo hata kula konokono hawezi bei yake, halafu analalamika
Mbona kuna mahoteli mengi ya kishua huko masaki, hayana bei ya vyakula kwenye menu wanaogopa kwenda.....
 
Kuna uzi huko miaka ya nyuma nilishawahi comment kuwa Wachina sio marafiki wa Waafeika kama waafrika wanavyodhani...
Sahihi kabisa, nimefanya nao kazi, NI wabaguzi sana, japo sikuwahi kuguswa huo ubaguzi.
 
Machinga mtaa wa kongo..
Mchina mtaa wa kongo..
Bonta_
 
Back
Top Bottom