Hoteli ya Kichina iliyodaiwa kukataza Watanzania kuingia ndani ya hoteli yao, watoa tamko la kujitetea!

Hoteli ya Kichina iliyodaiwa kukataza Watanzania kuingia ndani ya hoteli yao, watoa tamko la kujitetea!

Wakuu,

Baada ya kupiga sana kelele humu na huko X kuhusu ile hoteli ya Kichina ambayo ilikuwa inazuia watu weusi, hatimaye hoteli hiyo imetoa tamko.

Wamesema kuwa huyo mlinzi ni wa "kampuni ya nje" na kwamba alikuwa "hana mafunzo ya kutosha"

Kwangu mimi naona hii barua ni "risk management" na "PR stategy" ya kujisafisha.

Inawezekana vipi huyu mlinzi aseme kitu kama hiki out of nowhere?

Soma pia: Video: Huu kama sio ukoloni ni nini? Wachina waanzisha hoteli ambazo Mtanzania huruhusiwi kuingia

Inavyoonekana hii ilikuwa ni policy ya hii hoteli lakini huwa wanaifanya kwa kificho.

Ndo ile unaenda kwenye hoteli unaambiwa wako kwenye kikao au kuna event inafanyika lakini in reality hawataki uingie. Huyu mlinzi alichofanya ni kusema ukweli kuwa watu weusi hamtakiwi, instead ya kuleta visingizio

Hii excuse ya kwamba huyo mlinzi alikuwa "hana mafunzo" ya kutosha haikubaliki.

Again, Chinese are existential threat in our country

Mbona mnakuwa km makahaba? Mtu biashara ya kwake kwanini ulazimishe kuingia? Si uende hoteli nyingine. Hata wahindi wana club zao miji mikubwa km Arusha zimeandikwa "for members only" acheni uchawi heshimu sera za watu, mnataka muingie humo na mauchafu yenu? Mbn mabwege hivyo? Mko km nyumbu kila kitu kulalamika
 
Kuna yule alilalamikia wazungu wana dharau sana maana kamsalimia hajaitika, hoja ni anaachaje kuitika kwenye ardhi yetu?
 
Wafukuzwe nchini. Period

..haki tusitafute sababu za ku normalise ubaguzi wa rangi. ya ngozi nchini.

...Waziri Jafo aweke hadharani ile ripoti ya siri ya wale waliotaka kuhujumu uchunguzi kuhusu walowezi kutoka china kariakoo usitishwe.

...tuwatambue, wala Rushwa-hata wakiwa ni weusi- wafungwe kwenye matenga na waburuzwe kuanzia Kariakoo mpaka kwenye hio hoteli, kisha wanyongwe kwa usaliti wa wananchi wao.
 
Kwann walisitisha kutoa Hy taarifa?
 
Back
Top Bottom