Hoteli ya Kichina iliyodaiwa kukataza Watanzania kuingia ndani ya hoteli yao, watoa tamko la kujitetea!

Issue ni ideology, watu wanapigana dhidi ya ideology ya ubaguzi, na wanapigania hadhi ya mtu mweusi, kwani nani hata anataka kwenda hapo basi, hoteli zipo nyingi tu..
 
Mbona mnakuwa km makahaba? Mtu biashara ya kwake kwanini ulazimishe kuingia? Si uende hoteli nyingine. Hata wahindi wana club zao miji mikubwa km Arusha zimeandikwa "for members only" acheni uchawi heshimu sera za watu, mnataka muingie humo na mauchafu yenu? Mbn mabwege hivyo? Mko km nyumbu kila kitu kulalamika
 
Kuna yule alilalamikia wazungu wana dharau sana maana kamsalimia hajaitika, hoja ni anaachaje kuitika kwenye ardhi yetu?
 
Wafukuzwe nchini. Period

..haki tusitafute sababu za ku normalise ubaguzi wa rangi. ya ngozi nchini.

...Waziri Jafo aweke hadharani ile ripoti ya siri ya wale waliotaka kuhujumu uchunguzi kuhusu walowezi kutoka china kariakoo usitishwe.

...tuwatambue, wala Rushwa-hata wakiwa ni weusi- wafungwe kwenye matenga na waburuzwe kuanzia Kariakoo mpaka kwenye hio hoteli, kisha wanyongwe kwa usaliti wa wananchi wao.
 
N
Wewe unafaidika nini Watanzania WAKIZUIWA kuingia hoteli za kichina?
Dio ilele ile waarabu na wahindi wabaya hawakubali kuoa kwao mnaenda kwa wachina kushangaa na kutongoza hamna hadhi mnaenda kufanya fujo
 
Kwann walisitisha kutoa Hy taarifa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…