Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
Aaah wabongo utawaweza Kwa unafiki na kulalamika? Bora walivyofukuzwaNi kweli.
mtu anaenda na ki vitz kimechoka, huyo hata kula konokono hawezi bei yake, halafu analalamika
Mbona kuna mahoteli mengi ya kishua huko masaki, hayana bei ya vyakula kwenye menu wanaogopa kwenda.....
Hapo mnaanazuiliwa makapuku ila aende tajiri hapo uone km atazuiliwaWanajitetea na kujisafisha tu lakini ukweli utabaki pale pale
Si akafanye kwao yani mpangaji anipangie kuingia kwanguMbona mnakuwa km makahaba? Mtu biashara ya kwake kwanini ulazimishe kuingia? Si uende hoteli nyingine. Hata wahindi wana club zao miji mikubwa km Arusha zimeandikwa "for members only" acheni uchawi heshimu sera za watu, mnataka muingie humo na mauchafu yenu? Mbn mabwege hivyo? Mko km nyumbu kila kitu kulalamika
Zanzibar nilienda nikataka ku test hotel moja pale forodhani kuwa ina ubaguzi hawataki waafrika wanataka wazungu tu nikaamua leo ni leo watanikoma naenda kula pale na hela nilikuwa nayo bila kujali wataniuzia bei ganiHapo waweke tu kibao "members only" kama Yatch Club, kuzimisha viherehere....
Hivi mavyakula ya kichina kama nyoka,paka,konokono nk watu wanalilia kwenda kuyala au ni chuki tu kwa huhaa.Wakuu,
Baada ya kupiga sana kelele humu na huko X kuhusu ile hoteli ya Kichina ambayo ilikuwa inazuia watu weusi, hatimaye hoteli hiyo imetoa tamko.
Wamesema kuwa huyo mlinzi ni wa "kampuni ya nje" na kwamba alikuwa "hana mafunzo ya kutosha"
Kwangu mimi naona hii barua ni "risk management" na "PR stategy" ya kujisafisha.
Inawezekana vipi huyu mlinzi aseme kitu kama hiki out of nowhere?
Soma pia: Video: Huu kama sio ukoloni ni nini? Wachina waanzisha hoteli ambazo Mtanzania huruhusiwi kuingia
Inavyoonekana hii ilikuwa ni policy ya hii hoteli lakini huwa wanaifanya kwa kificho.
Ndo ile unaenda kwenye hoteli unaambiwa wako kwenye kikao au kuna event inafanyika lakini in reality hawataki uingie. Huyu mlinzi alichofanya ni kusema ukweli kuwa watu weusi hamtakiwi, instead ya kuleta visingizio
Hii excuse ya kwamba huyo mlinzi alikuwa "hana mafunzo" ya kutosha haikubaliki.
Again, Chinese are existential threat in our country
ππHapo mnaanazuiliwa makapuku ila aende tajiri hapo uone km atazuiliwa
Ni matamu na Yana Afya ya kutosha,tulio yazoea tuyapendaHivi mavyakula ya kichina kama nyoka,paka,konokono nk watu wanalilia kwenda kuyala au ni chuki tu kwa huhaa.
Ni kweli.
mtu anaenda na ki vitz kimechoka, huyo hata kula konokono hawezi bei yake, halafu analalamika
Mbona kuna mahoteli mengi ya kishua huko masaki, hayana bei ya vyakula kwenye menu wanaogopa kwenda.....
Shida kwl kwlBi ushungi amefungua nch..I kueni muyaone
Du!Ni matamu na Yana Afya ya kutosha,tulio yazoea tuyapenda
ππππDawa tu waweke menu za panya, popo, nyoka, paka basi wabongo wataacha wenyewe kuingia
ππππWabongo unawajua! Watataka wakaonje.
Sahihi kabisa, nimefanya nao kazi, NI wabaguzi sana, japo sikuwahi kuguswa huo ubaguzi.Kuna uzi huko miaka ya nyuma nilishawahi comment kuwa Wachina sio marafiki wa Waafeika kama waafrika wanavyodhani...