Hoteli ya kisasa yafunguliwa JKIA huku idadi ya wasafiri ikiongezeka

Unajitekenya mwenywe halafu unacheka... Uhuru ni zao la KANU na KANU ilianzishwa na Baba yake. Hata yeye Uhuru alishagombea Uraisi kwa tiketi ya KANU akashindwa ndio wakatafuta Brand ingine but are the same KANU`S . Hivyo km ni credit wape kwanza KANU maana wao ndio wamerudi kivingine
Imekuuingia bila shak
 
KANU ni chama na rais Uhuru ni mtu, mimi hapo niliongelea kuhusu chama, mifumo ya uongozi na vyama vinaweza kubadilishwa, kupigwa chini na kujengwa upya. Leo hii KANU ipo kwenye baridi ya muda mrefu, hebu waza CCM ikiishia kuwa na wabunge wasiozidi watano.
 
Mifumo inajengwa na watu, Uhuru hata angekuwa kiongozi chini ya KANU asingekuwa tofauti na Uhuru wa sasa. Unajitahidi kuzunguka mbuyu lakini ukweli ni kwamba unamuunga mkono Uhuru kwa sababu ni Mkikuyu mwenzako.
 
Uhuru angekuja kama KANU asingefaulu haya yote anayoyafanya leo hii, KANU ililemaza nchi, siku zote mfumo ndio tatizo na sio watu. Ni kama leo hii hapo Bongo, Magufuli hata akimbie vipi ni vigumu kuusafisha mfumo akiwa ndani ya huo uozo na ndio maana ameishia kufuata vyeti akisuasua na kuwaacha akina Bashite.

Angechaguliwa nje ya CCM angekua na uwezo wa kuguruma bila hofu, laikini leo hao hao CCM ndio waliomuweka hapo baada ya kukutana Dodoma.
 
Unachoongea si kweli, ufanisi anaoonesha JPM Tanzania hamna hata kiongozi mmoja wa upinzani mwenye uwezo huo. Tunahitaji viongozi wazuri, hayo mambo ya mfumo ni kujidanganya tu. Angalia nchi kama Malawi, Zambia, Ghana n.k kila siku wanabadili vyama lakini ni masikini wa kutupa.

Nchi kama Botswana inaongozwa na chama kimoja tokea uhuru wake lakini ina maendeleo makubwa. Ukiangalia hao watu wa upinzani kwenye uongozi wa chini hawana cha maana wanachofanya zaidi ya kupiga kelele. Shida yetu Afrika ni viongozi wabaya bila kujali wapo chama gani.

Leo ujidanganye eti Lowassa wa Chadema ni tofauti na Lowassa wa CCM wakati akili yake ni ile ile. Btw, Uhuru anachofanya ni kukopa China na kujenga barabara na reli kitu ambacho hata Ethiopia na nchi nyingine za Afrika wanafanya. Hana ubunifu wowote wa kufanya tuamini ni kiongozi mzuri zaidi ya kuendesha nchi kimazoea.
 
Jambo zuri kweli kweli....Hoteli hii itasaidia sana...Nairobi the hub
 
Kenya huwa tuna ushindani mkali sana na ni vigumu kutabiri nani atashinda, ili ushinde urais Kenya lazima uwaeleze wananchi wakuelewe. Juzi kwenye kura za mchujo wameangushwa mibabe wa siasa, wengine hata wandani wa rais Uhuru na Raila Odinga.
Binafsi mimi ningependa kuona rais Uhuru akiendeleza haya mambo anayoyafanya kwenye nyanja za uchumi, lakini nina kura moja tu, hivyo mamilioni ya Wakenya wezangu nao watafanya maamuzi yao siku ikifika na ikitokea Uhuru atashindwa, basi nitamuunga mkono rais wetu mpya na kumpa ushirikiano katika kuboresha nchi zaidi. Nitakua hapa JF nikiweka mabango ya jinsi nchi yetu inapiga hatua.
Hapo sasa! Hata mimi ni mfuasi sugu wa nasa, lakini cha msingi ni kudumisha kheri kizalendo maanake hii nchi ni kubwa kutuliko sote. Kwanza mimi kibinafsi niko na malengo ya kutimiza na singependa mvurugo wa aina yoyote ndiposa nipate kuyatimiza malengo yangu kwa wakati ufaao. Hatutaki mambo ya kipuzi raundi hii.
 
Unajitekenya mwenywe halafu unacheka... Uhuru ni zao la KANU na KANU ilianzishwa na Baba yake. Hata yeye Uhuru alishagombea Uraisi kwa tiketi ya KANU akashindwa ndio wakatafuta Brand ingine but are the same KANU`S . Hivyo km ni credit wape kwanza KANU maana wao ndio wamerudi kivingine
Sawa hata sisi twangoja brand nyingine kutoka kwa CCM yanye italeta utofauti vile Uhuru alivyofanya kutoka kwa KANU. Hivi ushawahi jiuliza kwanini mgomba ukikosa mazao bora huwa unakatwa na kisha kwenye mbegu hiyo hiyo kunaota mwingine wenye mazao lukuki?.
 
Nimekuuliza swali wewe unalete jibu lingine lisilohusiana kabisa, ndiyo shida ya kwenda Shuleni miaka yote kujifunza Kiingereza tu halafu mwisho wa siku mnajua Lugha lkn kichwani hamna akili hata tu ya kusoma na kuelewa ulichoulizwa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Hehehehe!!! Hukuuliza swali, ulifanya kushangaa kwamba Kenya ndio inafanikisha mambo mengine ambayo uliaminishwa kwamba yapo tangia miaka ya 60 wakati tukiwa kwenye utawala wa mkoloni.

Kingereza ni muhimu sana, kinapanua uelewa wa mambo maana ndio lugha ya dunia, kwenu hapo japo mnajifanya kukichukia baada ya kushindwa kukitumia, ndio kimefunika kila kitu mlicho nacho, sheria na maandiko na stakabadhi muhimu ikiwemo mikataba yote mumeandkiwa kwa hicho hicho Kingereza. Aisei mnapata tabu sana msiokijua kukitumia.

Huwa mnataka kujifananisha na Wajapan, Wachina na Wajerumani eti kwamba wao wanatumia lugha zao, kumbuka wale walijiboresha miaka mia kadhaa iliyopita, sio kama nyie bado mnaagiza sindano leo na kutaka kujiweka kwenye level moja na tamaduni za watu waliojijenga miaka zaidi ya mia tano iliyopita.
Kiswahili hiki tumekibuni kwa kutumia Mwarabu na baadhi yetu tukaiga uvivu na uzembe wake mwarabu, kazi yake kulea mindevu kule jangwani wala hajitumi kwa chochote.
hiyo sasa paniki.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Unachoongea si kweli, ufanisi anaoonesha JPM Tanzania hamna hata kiongozi mmoja wa upinzani mwenye uwezo huo. Tunahitaji viongozi wazuri, hayo mambo ya mfumo ni kujidanganya tu. Angalia nchi kama Malawi, Zambia, Ghana n.k kila siku wanabadili vyama lakini ni masikini wa kutupa.

Nchi kama Botswana inaongozwa na chama kimoja tokea uhuru wake lakini ina maendeleo makubwa. Ukiangalia hao watu wa upinzani kwenye uongozi wa chini hawana cha maana wanachofanya zaidi ya kupiga kelele. Shida yetu Afrika ni viongozi wabaya bila kujali wapo chama gani.

Leo ujidanganye eti Lowassa wa Chadema ni tofauti na Lowassa wa CCM wakati akili yake ni ile ile. Btw, Uhuru anachofanya ni kukopa China na kujenga barabara na reli kitu ambacho hata Ethiopia na nchi nyingine za Afrika wanafanya. Hana ubunifu wowote wa kufanya tuamini ni kiongozi mzuri zaidi ya kuendesha nchi kimazoea.

Wazimu ni yule anayefanya kitu kimoja muda wote na kutegemea matokeo tofauti, bora anayethubutu kujaribisha mapya. Hao Botswana hawana sababu za kubadilisha maana wanaona matokeo mazuri kwa kile wanachkifanya kwa muda wote, wale wa Ghana hongera kwao kwa kujaribu kuthubutu kubadilisha hadi pale watagonga penyewe.

Nyie hapo, mna nchi kubwa yenye kila kitu lakini maskini wa kutupwa miaka yote bado mnatajwa kwenye mataifa ya chini duniani. Halafu bado mnarudia kile kile, kuchagua chama kile kile na kutegemea matokeo tofauti. Sisi tuliishi hivyo, kwa kuwa na chama hicho cha tangu uhuru, lakini ilifika hatua tukaamua liwalo na liwe, tukathubutu na kubadilisha na tangia wakati huwa, hatujajutia hata siku moja. Kama kipindi kile tungemchagua rais Uhuru akiwa kwenye KANU, basi hata nyie pamoja na uzembe wenu mngetupita kiuchumi.

Halafu hilo la mikopo, cha msingi ni matokeo, fahamu kwamba mikopo haitolewi ovyo kwa kila nchi, kuna mengine yakuzingatia. Hujiulizi kwanini Uganda hadi leo bado hawajapewa mkopo wa reli ya SGR, hadi pale Kenya atakubali kuwa mdhamini.
Kuna nchi kama Japan mikopo yao to GDP ni 200%, hivyo sisi kuwa kwenye 50% sio mbaya sana ukizingatia mafanikio ya hio mikopo.
Rasi Uhuru amefanya mengi, tatizo nyie vijana wa Lumumba mnategemea sana taarifa za viblog uchwara mnapoijadili Kenya.
Wakati Uhuru anaingia kwenye uongozi mwaka wa 2013
Shule 8,000 zilikua zimeunga kwenye umeme, leo Uhuru ameongeza idadi na kuwa shule 20,450
Nyumba 2.3m ndio zilikua na umeme, leo hii amefikisha idadi na kuwa 4.1m ina maana zaidi ya Wakenya 50% wameunga
Tulikua na 1,660 megawatts za umeme, amefaulu kuongeza 600 megawatts
Transmission lines zilikua 2,200km ameongeza 600km
Amewapokeza Wakenya 2,322,913 hati miliki za viwanja na mashamba
Bajeti ya elimu ya msingi ilikua 8.96 billion yeye ameongeza hadi 14.1b
Bajeti ya elimu ya sekondari ilikua 19.2 billion ameongeza 32.5b
Ameongeza bajeti ya mikopo ya elimu ya juu na kuwa 7.6b kutoka 5.5b
Mfumo wa Huduma Centres ameusambaza nchi yote, awali ilibidi kusafiri sana ili kupata huduma za serikali, leo hii unapata huduma zote ndani ya jengo moja tena wilayani.
Vijana na akina mama na walemavu wamefaulu kufungua biashara 80,000

Yaani kuna mengi nikiamua kuyaandika yote humu nitapoteza muda wa masaa kadhaa ambayo sina kwa sasa, na nina uhakika hayatakuingia maana nyie ni watu wa maajabu sana, kile mlikaririshwa na kuaminishwa ndio huwa mnakomaa nacho hadi kuzimu. Mnafanana na wale hujilipua kwa mabomu, huwezi kuwaambia chochote zaidi ya uzombi wa kujilipua.
 
Acha sisi tuendelee kukuza viwanda vya cherehani
 
Nimekuuliza swali wewe unalete jibu lingine lisilohusiana kabisa, ndiyo shida ya kwenda Shuleni miaka yote kujifunza Kiingereza tu halafu mwisho wa siku mnajua Lugha lkn kichwani hamna akili hata tu ya kusoma na kuelewa ulichoulizwa!
Mi naona kakupa za uso alipogusia neno KANU na CCM.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kipindi sisi tunakamatana kwa kumsema mtu facebook
 
Wazimu ni yule anayefanya kitu kimoja muda wote na kutegemea matokeo tofauti, bora anayethubutu kujaribisha mapya. Hao Botswana hawana sababu za kubadilisha maana wanaona matokeo mazuri kwa kile wanachkifanya kwa muda wote, wale wa Ghana hongera kwao kwa kujaribu kuthubutu kubadilisha hadi pale watagonga penyewe.

Nyie hapo, mna nchi kubwa yenye kila kitu lakini maskini wa kutupwa miaka yote bado mnatajwa kwenye mataifa ya chini duniani. Halafu bado mnarudia kile kile, kuchagua chama kile kile na kutegemea matokeo tofauti. Sisi tuliishi hivyo, kwa kuwa na chama hicho cha tangu uhuru, lakini ilifika hatua tukaamua liwalo na liwe, tukathubutu na kubadilisha na tangia wakati huwa, hatujajutia hata siku moja. Kama kipindi kile tungemchagua rais Uhuru akiwa kwenye KANU, basi hata nyie pamoja na uzembe wenu mngetupita kiuchumi.

Halafu hilo la mikopo, cha msingi ni matokeo, fahamu kwamba mikopo haitolewi ovyo kwa kila nchi, kuna mengine yakuzingatia. Hujiulizi kwanini Uganda hadi leo bado hawajapewa mkopo wa reli ya SGR, hadi pale Kenya atakubali kuwa mdhamini.
Kuna nchi kama Japan mikopo yao to GDP ni 200%, hivyo sisi kuwa kwenye 50% sio mbaya sana ukizingatia mafanikio ya hio mikopo.
Rasi Uhuru amefanya mengi, tatizo nyie vijana wa Lumumba mnategemea sana taarifa za viblog uchwara mnapoijadili Kenya.
Wakati Uhuru anaingia kwenye uongozi mwaka wa 2013
Shule 8,000 zilikua zimeunga kwenye umeme, leo Uhuru ameongeza idadi na kuwa shule 20,450
Nyumba 2.3m ndio zilikua na umeme, leo hii amefikisha idadi na kuwa 4.1m ina maana zaidi ya Wakenya 50% wameunga
Tulikua na 1,660 megawatts za umeme, amefaulu kuongeza 600 megawatts
Transmission lines zilikua 2,200km ameongeza 600km
Amewapokeza Wakenya 2,322,913 hati miliki za viwanja na mashamba
Bajeti ya elimu ya msingi ilikua 8.96 billion yeye ameongeza hadi 14.1b
Bajeti ya elimu ya sekondari ilikua 19.2 billion ameongeza 32.5b
Ameongeza bajeti ya mikopo ya elimu ya juu na kuwa 7.6b kutoka 5.5b
Mfumo wa Huduma Centres ameusambaza nchi yote, awali ilibidi kusafiri sana ili kupata huduma za serikali, leo hii unapata huduma zote ndani ya jengo moja tena wilayani.
Vijana na akina mama na walemavu wamefaulu kufungua biashara 80,000

Yaani kuna mengi nikiamua kuyaandika yote humu nitapoteza muda wa masaa kadhaa ambayo sina kwa sasa, na nina uhakika hayatakuingia maana nyie ni watu wa maajabu sana, kile mlikaririshwa na kuaminishwa ndio huwa mnakomaa nacho hadi kuzimu. Mnafanana na wale hujilipua kwa mabomu, huwezi kuwaambia chochote zaidi ya uzombi wa kujilipua.

Kama Kenya ndio kipimo cha nchi ya Afrika iliyoendelea baada ya kubadili vyama basi hamna sababu ya kuendelea kubishana hapa. Wewe endelea kumshabikia Mkikuyu mwenzako.
 
Hivi baada ya KANU kufa mali zake ilizochuma enzi za chama kimoja hatima yake imekuwaje? Maana huku kwetu Tz ma ccm bado yameng'ang'ania mali za umma nakugeuza mali za chama chao
 
Asikudanganye mtu kwamba mnaweza kurejesha kilichoibwa, au kufukua makaburi, mtaishia kuzungukana hadi alfajiri. Ufisadi Afrika upo kwenye vinasaba zetu, Kenya hata baada ya kupiga KANU chini, ufisadi uliendelea kutajwa tu kila uchao.
Kile ambacho kilibadilika ni utendaji kazi wa viongozi kwa mfumo mpya na tukaona nchi ikiendelea kwa kasi ghafla. Hapo awali rais alikua mungu mtu, ilibidi viongozi waimbe nyimbo zake ili kudumisha vyeo, tukiwa wadogo tulikua tunakusanyika pembeni mwa barabara wakati rais anapita, tuliimba nyimbo za kumsifu. Huko siwezi penda nchi irudi, tulitoka jameni.
 
Inahuzunisha kuona ni hoteli ya Mhindi na sio Mweusi. Ugonjwa wetu wa kuwaachia Wahindi sehemu nyeti kama hizi sijui utatibika lini. Duty-free shops za airport zetu nazo unakuta ni za Wahindi.
Kaka wacha fikra potofu za ubaguzi kwa style hii..... sisi Watanzania tunasafari ndefu sn ya kuja kupata maendeleo ya ukweli tusipo wacha kuwa na fikra hizi sijui huyu MUASIA... cjui huyu MWARABU... huyu MWEUPE tutabaki nyuma hadi mwisho wa DUNIA.
 
Hayo yote uliyosema Uhuru amefanya hata CCM chini ya JPM kwa sasa wamefanya na wanaendelea kufanya, hamna jipya hapo.

1. Umeme: Kuna miradi mingi inaendelea ikiwemo hii chini.

Tanzania Starts Construction Works On 240 MW Kinyerezi II Gas-Fired Power Plant - TanzaniaInvest
STAMICO to spend US$500m on Kiwira coal-to-power project | Newsbase

2. Elimu ya msingi na upili bure, kumaliza tatizo la madawati na kuendelea na ujenzi wa madarasa kumaliza tatizo la upungufu wa madarasa.

3. Mradi wa ugawaji hati miliki za kimila kwa viwanja na mashamba ulianza na bado unaendelea kwa kasi, mimi nikiwa mnufaika wa hili tayari.

Vijiji kukabidhiwa hati miliki za kimila
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
WAKULIMA 300 MPANDA KUNUFAIKA NA HATIMILIKI YA ARDHI YA KIMILA. - PEMBEZONI!

4. Usafiri wa mijini umeimarishwa kwa mradi wa mabasi ya haraka awamu ya kwanza, awamu nyingine zikitarajiwa kuanza karibuni.
 
Back
Top Bottom