Ukifuata sheria ya kodi hutababaishwa na TRA. Ninavyoamini lakini.Sugu aliwadharau sana watendaji sasa ajipande kwenye kodi maana hawatamuacha salama ajaiita rais huku analialia kushukuru rais og.
Aliifanya mbeya yake upepo umegeuka atulie sindano iingie
Fafanua hili la Miswahili...ni watu wa Aina gani Hawa..wanapatikana wapi hapa Tanzania? Wanawakilisha Watanzania wote?!Miswahili ni mijitu yenye roho mbaya sana. Yaani haitaki yenyewe ifanikiwe, inataka mkose wote, Basi tu wanafurahi sana wote mkiwa mafukara
Serikali ya Tanzania haitaki wazawa wawe matajiri, hii ni moja ya Sera ya chama tawala tokea enzi za Nyerere.Hili sakata la kutaka kufunga Hoteli ya Sugu huko Mbeya limeleta hisia nyingi.
Lakini baya zaidi ni lile la the dark side ya watu fulani ndani ya Serikali...
Mkuu huu uwanda wakueleza madudu ambayo yanasomwana na wengi.Unaweza kuwa na ukweli fulani , lakini mara kadhaa Magufuli ameshangilia wapinzani kukomolewa..
Aliyesema wataishi kama mashetani ni Nani? CCM wote Ni mashetaniHili sakata la kutaka kufunga Hoteli ya Sugu huko Mbeya limeleta hisia nyingi...
Magufuli ndiye aliyetaka kuvunja hiyo hotel lakini alipoona anazomewa kila kona akabadilisha nia yake na kumtuma Chalamila apooze hasira za wananchi!Mwezako sugu alikuwa nashukuru rais kuwa yeye amefuata sheria
Wanaiga tabia yakeHili sakata la kutaka kufunga Hoteli ya Sugu huko Mbeya limeleta hisia nyingi.
Lakini baya zaidi ni lile la the dark side ya watu fulani ndani ya Serikali.
Serikali inaendeshwa na watu.
Na watu hao maafisa ndiyo waliotaka watumie mgongo wa Serikali kubomoa Hoteli hiyo.
Kwa wafanyabiashara tunajua kuna watu-maafisa, wenye mamlaka na wana wivu, au kinyongo na maendeleo ya wananchi, hasa wafanya biashara.
Nimeambiwa huko Mbeya kuna viongozi wa ajabu sana.
Pengine Magufuli atembelee Mbeya kujionea vioja cha maafisa au viongozi wake.
Miaka ya 2017 uwekezaji wa maparachichi ulitiwa misukosuko.
Mwekezaji mzalendo wa ufugaji samaki kule Tukuyu-Kiwira badala ya Serikali kumtia moyo, kupitia DED wakamfungia mradi karibia miaka miwili bila sababu za msingi.
Waliposikia Magufuli anatembelea Mkoa wa Mbeya, wakamfungulia mradi.
Hili ni kielelezo cha watu ndani ya Serikali wenye roho mbaya, na ni mbaya kwa wawekezaji.
Watu wa aina hii wako wengi na idara tofauti kuanzia ma DED, TRA, NEMC, hata baadhi wakuu wa Wilaya.
Hili sakata la Hoteli ya Sugu ni kielelezo tosha cha Watu wasioitakia mema serikali ya Awamu ya Tano.
Maafisa hawa wana msimamo wa kukomoa wafanyabiashara au wawekezaji.
Serikali kupitia Rais anasema hili, wakati baadhi ya maafisa wa Serikali wanatekeleza matakwa yao.
Rais Magufuli kwa kweli inabidi aelezwe tu kwamba kuna wafanyakazi/maofisa ndani ya Serikali yake wanamhujumu.
Sana sana ni matamko ya jamaaMjinga ni wewe ambaye hujui kuwa kwenye utawala huu hakuna sheria inayofuatwa! Hata hao wabunge ni vikaragosi vya serikali!
Roho za kifukara zitawaandama bila kuwaachieni nyie na vizazi vyenu vyoteHii inaitwa kimyakimya mpaka sugu akimbilie Canada
Roho za kifukara zitawaandama bila kuwaachieni nyie na vizazi vyenu vyote
moja ya watu wanaoongelewa hapa ni weweSugu aliwadharau sana watendaji sasa ajipande kwenye kodi maana hawatamuacha salama ajaiita rais huku analialia kushukuru rais og.
Aliifanya mbeya yake upepo umegeuka atulie sindano iingie
Aliyeharibu shamba la Mbowe Ni Byakanwa ambaye Sasa hivi ni RC wa Mtwara siyo Mnyeti.Tunasimamia sheria sisi acheni ujinga hii nchi unazosheria zake
Hao ndio wanaowaabudu weupe na kukandamiza weusi wenzake.Nakumbuka marehemu Mengi aliandamwa sana weusi wenzake hawakupenda awe tajiri!Mkuu una roho ya korosho na uko narrow minded.
Mimi simtetei Sugu kama Sugu kwa vile mimi si mwanasiasa wala wa chama chake.
Wewe una roho ya kukomoana, kisasi kilichondani yako kitakuangamiza mwenyewe.
Mtanzania mwenzako akiwekeza, feel proud na uone unavyoweza kumsaidia katika matatizo yaayo kabili.
Kupigwa mada mradi wako hakukuongezei shibe wala kipato.
Roho yako mbaya ndio itaridhika na kuchekelea, cheza na shetani, atakumaliza muda ukifika.
Kweli nyoka anauguza kidonda akipona atakuja na hasira,naunga mkono auze huu utawala sio.Hii mechi iko halftime tu, huko mbele yatakuwa makubwa zaidi, tabia ya panya huuma na kupuliza.
Sugu angekuwa na akili kubwa apauze tu, akawekeze kwingine.
Tuwataje kwa majina waliomuandama Mengi.Hao ndio wanaowaabudu weupe na kukandamiza weusi wenzake.Nakumbuka marehemu Mengi aliandamwa sana weusi wenzake hawakupenda awe tajiri!
Lau Kego Fortunatus Marsha huwa yupo anapiga miayooTuwataje kwa majina waliomuandama Mengi.
Na je wao wametajirika?
Huu nao ni ujinga mwingine unaoishushia JF heshima yake. Kauli ya rais ilikuwa very specific ni watu gani aliwalenga. Ingekuwa general kihivyo asingefanya vitendo kama vipe kumpa Bakhresa shamba la ekari elf 10 bure. Hizi ID za kificho zinatoa uhuru watu kupost ujinga.Roho mbaya inaanzia kwake . kumbuka aliwahi kuapa kuwa atahakikisha matajiri watageuka kuwa mashetani.