Wewe pia huna taarifa. Ndiyo sababu unaleta strori za vijiweni badala ya kuleta facts. Jadili kama mwanazuoni. Sema kuna shida hii kwa reference hizi.
TRA wapo tayari kwenye hizi bamia danda head. Kitambulisho nilichopewa kimeratibiwa na TRA. Walalamikaji wengi mna zero understanding juu ya mambo yanavyokwenda.
Pia mimi ni mzalendo na mpambanaji. Siwezi kukonda eti kisa nimeambiwa nilipe kodi. Wavivu kama nyinyi ndiyo hudhani serikali ina mashamba ya kulima pesa kwa ajili ya miundombinu, mishahara, ulinzi, nk
Anyway, good luck Mr. Keyboard warrior.
View attachment 1666183