Hoteli ya Sugu: Wafanyakazi wa Serikali wanavyoisaliti Serikali ya Magufuli

Hili sakata la kutaka kufunga Hoteli ya Sugu huko Mbeya limeleta hisia nyingi.

Lakini baya zaidi ni lile la the dark side ya watu fulani ndani ya Serikali.

Serikali inaendeshwa na watu.

Na watu hao maafisa ndiyo waliotaka watumie mgongo wa Serikali kubomoa Hoteli hiyo.

Kwa wafanyabiashara tunajua kuna watu-maafisa, wenye mamlaka na wana wivu, au kinyongo na maendeleo ya wananchi, hasa wafanya biashara.

Nimeambiwa huko Mbeya kuna viongozi wa ajabu sana. Pengine Magufuli atembelee Mbeya kujionea vioja cha maafisa au viongozi wake.

Miaka ya 2017 uwekezaji wa maparachichi ulitiwa misukosuko. Mwekezaji mzalendo wa ufugaji samaki kule Tukuyu-Kiwira badala ya Serikali kumtia moyo, kupitia DED wakamfungia mradi karibia miaka miwili bila sababu za msingi. Waliposikia Magufuli anatembelea Mkoa wa Mbeya, wakamfungulia mradi.

Hili ni kielelezo cha watu ndani ya Serikali wenye roho mbaya, na ni mbaya kwa wawekezaji.

Watu wa aina hii wako wengi na idara tofauti kuanzia ma DED, TRA, NEMC, hata baadhi wakuu wa Wilaya.

Hili sakata la Hoteli ya Sugu ni kielelezo tosha cha Watu wasioitakia mema serikali ya Awamu ya Tano.

Maafisa hawa wana msimamo wa kukomoa wafanyabiashara au wawekezaji.

Serikali kupitia Rais anasema hili, wakati baadhi ya maafisa wa Serikali wanatekeleza matakwa yao.

Rais Magufuli kwa kweli inabidi aelezwe tu kwamba kuna wafanyakazi/maofisa ndani ya Serikali yake wanamhujumu.
Sugu kwa sababu yuko CHADEMA ndiyo maana serikali ya ccm walitaka kubomoa hotel yake wala hakuna sababu nyingine.

Rais amejifanya kuingilia ili aonekane hana lawama lakini ukweli ni kwamba wafanya biashara wengi wa upinzani wanakomolewa kwa sababu tu wapo upinzani
 
Wewe mwabwa koko kweli hujui mbunge anasimamia halmashauri kupitia nafasi yake kama diwani kwenye halmashauri .wewe ni kilaza uliyesoma ujinga
Wewe no lipumbavu, unayajua majukumu ya mbunge? Tangu lini mbunge akawa msimamizi wa halmashauri?
 
Huna lolote Ni mmoja ya viumbe wapuuzi Sana wewe.... Tena unajiita mwanaume Kabisa... Dah Kwenu wamepata hasara kubwa Sana
Ndio utaratibu unaanza na sugu mwambie ajipange si alisema jpm ni mtu mwoga sasa jpm anamsamehe na yeye anashukuru ila sisi kimyakimya tunadeal naye
 
Huo Mchongo una mkono wa "FIVE AGAIN" sema ndio hivyo umebuma.

Kila kitu mnafanya siasa za Ufipani dah kazi ipo, atasingiziwa vingapi/mangapi wa 5 tena?! Kila jambo yeye atahusika, kwani ni Malaika ati kila sehemu yupo ati kila jambo anajua?! Sometimes you guys have to think outside of the box not just every post unacomment https://jamii.app/JFUserGuide’g rubbish, STUPID
 
Kila kitu mnafanya siasa za Ufipani dah kazi ipo, atasingiziwa vingapi/mangapi wa 5 tena?! Kila jambo yeye atahusika, kwani ni Malaika ati kila sehemu yupo ati kila jambo anajua?! Sometimes you guys have to think outside of the box not just every post unacomment ****’g rubbish, STUPID
Uwezi jua wewe mbwiga wa mbwiguke bado una harufu ya maziwa!! Haujui siasa wewe piga kimya!
 
Tukijadili wafanyakazi wa Serikali mlivyo na roho mbaya dhidi ya wafanya biashara wazalendo.

Mnaghushi kodi na tozo ili kutengeneza mazingira ya rushwa.

Rais Magufuli anapaswa kuwaelewa.
Ohooo my poor Tanzanian! Magufuli ataelezwa vingapi? Magufuli atashughulikia vingapi? Magufuli ana uwezo wa kuwa kila mahali kwa wakati mmoja? Nachoweza kusema tu ni kuwa kurudia kufanya jambo lile lile kwa namna ile ile huku ukitegemea matokeo tofauti ni ujinga. Nchi inahitaji kufumuliwa na kusukwa upya kabisa. Cha kwanza ni kuweka siasa pembeni na kutafakari tulikokwamia na tukubali mfumo tulio nao una tatizo kubwa. Ni mwaka wa sita sasa Magufuli akitumbua na kuteua lakini mambo ndiyo yanazidi kuwa mabaya.
 
Unakuta Kuna mgongano wa kimaslahi zaidi,Kuna wakubwa walitaka wabomoe,Ili wao wajenge wapige pesa,
Ngozi nyeusi ina roho mbaya sana,Kuna sumu kali ipo ndani ya DNA ya mtu mweusi,ambayo inalisishwa kizazi na kizazi,kutokana na maumivu ya miaka 100 utumwa,miaka 100 ukoloni,na miaka kibao ukoloni mamboleo.
Na hii chuki Maghu ndio kaipandikiza,asilete unafiki wakati wanaharibu Miundombinu ya kilimo Cha drip irrigation kwenye shamba la Mbowe,alikuwa wapi.
 
Hili sakata la kutaka kufunga Hoteli ya Sugu huko Mbeya limeleta hisia nyingi.

Lakini baya zaidi ni lile la the dark side ya watu fulani ndani ya Serikali.

Serikali inaendeshwa na watu.

Na watu hao maafisa ndiyo waliotaka watumie mgongo wa Serikali kubomoa Hoteli hiyo.

Kwa wafanyabiashara tunajua kuna watu-maafisa, wenye mamlaka na wana wivu, au kinyongo na maendeleo ya wananchi, hasa wafanya biashara.

Nimeambiwa huko Mbeya kuna viongozi wa ajabu sana. Pengine Magufuli atembelee Mbeya kujionea vioja cha maafisa au viongozi wake.

Miaka ya 2017 uwekezaji wa maparachichi ulitiwa misukosuko. Mwekezaji mzalendo wa ufugaji samaki kule Tukuyu-Kiwira badala ya Serikali kumtia moyo, kupitia DED wakamfungia mradi karibia miaka miwili bila sababu za msingi. Waliposikia Magufuli anatembelea Mkoa wa Mbeya, wakamfungulia mradi.

Hili ni kielelezo cha watu ndani ya Serikali wenye roho mbaya, na ni mbaya kwa wawekezaji.

Watu wa aina hii wako wengi na idara tofauti kuanzia ma DED, TRA, NEMC, hata baadhi wakuu wa Wilaya.

Hili sakata la Hoteli ya Sugu ni kielelezo tosha cha Watu wasioitakia mema serikali ya Awamu ya Tano.

Maafisa hawa wana msimamo wa kukomoa wafanyabiashara au wawekezaji.

Serikali kupitia Rais anasema hili, wakati baadhi ya maafisa wa Serikali wanatekeleza matakwa yao.

Rais Magufuli kwa kweli inabidi aelezwe tu kwamba kuna wafanyakazi/maofisa ndani ya Serikali yake wanamhujumu.
Katika hili hata umuulize nani atakuambia , maana yote hayayaliyotokea, kwa mfuatiliaji wa matukio ya hivi karibuni.
 
Ohooo my poor Tanzanian! Magufuli ataelezwa vingapi? Magufuli atashughulikia vingapi? Magufuli ana uwezo wa kuwa kila mahali kwa wakati mmoja? Nachoweza kusema tu ni kuwa kurudia kufanya jambo lile lile kwa namna ile ile huku ukitegemea matokeo tofauti ni ujinga. Nchi inahitaji kufumuliwa na kusukwa upya kabisa. Cha kwanza ni kuweka siasa pembeni na kutafakari tulikokwamia na tukubali mfumo tulio nao una tatizo kubwa. Ni mwaka wa sita sasa Magufuli akitumbua na kuteua lakini mambo ndiyo yanazidi kuwa mabaya.
Kumbuka ili yote hayo yawezekane yanahitaji utashi wa kisiasa, kwa mazingira yetu.
 
Unakuta Kuna mgongano wa kimaslahi zaidi,Kuna wakubwa walitaka wabomoe,Ili wao wajenge wapige pesa,
Ngozi nyeusi ina roho mbaya sana,Kuna sumu kali ipo ndani ya DNA ya mtu mweusi,ambayo inalisishwa kizazi na kizazi,kutokana na maumivu ya miaka 100 utumwa,miaka 100 ukoloni,na miaka kibao ukoloni mamboleo.
Na hii chuki Maghu ndio kaipandikiza,asilete unafiki wakati wanaharibu Miundombinu ya kilimo Cha drip irrigation kwenye shamba la Mbowe,alikuwa wapi.
Roho za kimasikini zikitawala , hata umuite muwekezaji gani hatokuja.
Tunafanyiana uzombie wenyewe kwa weyewe waTanzania, nani wa nje atatuamini.
 
Sugu aliwadharau sana watendaji sasa ajipande kwenye kodi maana hawatamuacha salama ajaiita rais huku analialia kushukuru rais og.

Aliifanya mbeya yake upepo umegeuka atulie sindano iingie
Kwa maneno yako tu inadhihirisha wazi nawe Ni miongoni mwa mnaomhujumu mh rais. Mambo ya mauchaguzi yamekwisha. Tujenge nchi, Mambo ya kusema sijui alijifanya rais wa mby yamepita.
 
Waimba mapambio sii wakuwaa mini,wanaimba Sana na kwanguvu kubwa ili waonekane mapema na wakaribishwe japo karibu na meza kuu.
 
C bure ww utakuwa mchawi tu
Sugu aliwadharau sana watendaji sasa ajipande kwenye kodi maana hawatamuacha salama ajaiita rais huku analialia kushukuru rais og.

Aliifanya mbeya yake upepo umegeuka atulie sindano iingie
 
Hukusikia kuwa yy ni kiongozi mkuu wa malaika???au ulikuwa unatambaa???
Kila kitu mnafanya siasa za Ufipani dah kazi ipo, atasingiziwa vingapi/mangapi wa 5 tena?! Kila jambo yeye atahusika, kwani ni Malaika ati kila sehemu yupo ati kila jambo anajua?! Sometimes you guys have to think outside of the box not just every post unacomment ****’g rubbish, STUPID
 
Huyu mzee aliefungiwa kufuga samaki anaitwa nyambacha
Kufungiwa ule mradi wake iliua ajira za vijana zaidi ya 50
Kosa halikuwekwa wazi
Mimi nilikua pale kujifunza ufugaji samaki

Watendaji wa serikali mbeya wamulikwe
 
Watu wengine wana fikiri ni majungu kumbe humu JF kuna wanaoshuhudia kabisa kuwa ni kweli.
Kuna viongozi wana roho mbaya mbaya, kukomoa juhudi za uwekezaji za wananchi hivyo kupinga juhudi za JPM.
 
Back
Top Bottom