Hoteli za Kitalii Arusha Nyingi Hazijakidhi Hadhi ya Kuhudumia Wageni

Hoteli za Kitalii Arusha Nyingi Hazijakidhi Hadhi ya Kuhudumia Wageni

wamiliki ni wabahili sana ili wapate faida maradufu inabidi wachukue vitu cheap hotel unakuta inamiundombinu ya hovyo! zipo hotel zina hadhi ya nyota tano lakini ikinyesha mvua zinavuja..!
wamiliki wanaangalia sana faida nono quality mtaitafuta nyinyi wateja hapo vipi..?😀
Arusha ni jiji la kitalii, na wageni wengi hufika kila siku kwa shughuli za kitalii, lakini malalamiko ni mengi kuwa Hoteli Nyingi za kitalii hazijakidhi Hadhi ya Kuhudumia Wageni, Mamlaka husika ya mambo ya kitalii na MaHoteli mnatumia vigezo gani kutoa vibali?

Pia bila kusahau TANESCO mnatutia aibu Umeme unakatika kwenye Mahoteli, na Process ya Kuwaka jenereta ni ndefu.

Aibu juu ya Aibu

Hizi Safari Hotels ziangaliwe upya, Taifa linawategemea kwenye kuwapa Malazi wageni alafu wanakutana na Drama.
Jengeni mahotel yenye viwango wakuu watalii waje wafikie kwenye mahotel yenu.
 
Unaongelea hoteli za hapa mjini tu kama Tulip 🌷, Gold crest, au lush garden?.

Hizo na nyingine aina ya hizo lazima ziwe low quality sababu ya mapato, daily wanaajiri na kufukuza wafanyakazi ili kuepuka garama na nssf nk.

Hoteli zlizopo polini ndizo zinahuduma hasa na mjini ni chache sana.
 
Back
Top Bottom