Hoteli za Kitalii Arusha Nyingi Hazijakidhi Hadhi ya Kuhudumia Wageni

Hoteli nyingi za Arusha naona kidg zina viwango kuliko za Dar
Matajiri wetu wa Dar floor za chini wanauza spare za pikipiki na magari yaani vurugu mechi
 
Umenikumbusha
Kuna bibi wa kizungu...nilikutana nae ughaibuni...aliwahi kuja kutalii Tz.....yaani ukisikia malalamiko yake....utapata hasira sana......
Lakini baya kuliko yote alidai hiyo kampuni iliwahudumia kama wafungwa...kutoka Airport kwenda kufungiwa hotelini NO kutoka nje eti usalama...then wakapelekwa kucheki wanyama mbio mbio tu na kurudi hotelini.....aaaah ngoja niishie hapo....mengine kapuni
 
Hoteli nyingi za Arusha naona kidg zina viwango kuliko za Dar
Matajiri wetu wa Dar floor za chini wanauza spare za pikipiki na magari yaani vurugu mechi
Mleta mada hajataja hotel mbovu zaidi ya kupiga soga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…