Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh. Shabiby anahujumiwa. Wakati mwingine vyumbani pananuka mavi, pia aliyemjenge alikuwa muhuni maana nakshi za vyumbani utafikiri nyoka, mifumo ya maji mibovu, makapeti ndiyo usiseme vumbi mno na yananuka. Ukiagizia kitu aisee sahau kuletewa. Kwa ufupi pale hana management kabisa ya hotel.Tuna kawaida mtu akiandika kitu cha kugusa mahala fulani utasikia umetumwa
Mimi naandika haya ambayo nimetendewa na nimeona hii ni fursa ya kuwasilisha dukuduku langu
Huenda nisifunguke sana lakini ITOSHE KUSEMA MORENA HOTELS hasa Morogoro MJIREKEBISHE SANA.
Huduma zenu ni mbovu sana na za KIBABE na si mimi tu nimetendewa, hapo nimeshuhudia watu wengi wakihama kwa HUDUMA MBOVU.
- Kubagua wateja
- Majibu ya kifedhuli na kihafidhina
- Huduma kuchelewa
- Kulisha watu vyakula vilivyooza
- Kudai pesa kila siku hata kwa mteja anayeendelea
Nasikitika kwa sababu hoteli bado mpya lakini huduma hazisadifu uendelevu wake........mtu unaenda kwa moyo kukaa hapo unafika mhudumu utadhani ndiye MTEJA NA WEWE MTEJA UNAGEUKA KAMA MHUDUMU.
Mlichonifanyia MUNGU ATAHUKUMU
View attachment 2893568
Nakubaliana na wewe mkuu ila sasa inatakiwa hata kama mwajiri wako anakunyanyasa basi chukuwa hatua nyingine lakini siyo kulipizia kwa wateja. Kama kazi haikufai basi tafuta nyingine. Nchi yetu tatizo lake kubwa ni kuwa kuna ''total system failure'' ambayo inasababisha ''ripple effect'' kwa society yote.Sio kweli mkuu,mtanzania ni hard worker ila tatizo hawa employers wengi ni mafedhuli, na wakati mwingine hawa ma HRs wetu ni vibaraka na roho mbaya, wakati DSM Sheraton Hotel wanaendesha ile hotel pale, kulikua na zaidi ya 260 staff's, ILA wote walikuwa level moja,GM alikua anakula kwenye staff canteen, hii ilileta kitu tofauti kwa staff's, ndio maana services pale ilikua top class, lakini sasa mafisadi yanapiga hela, kila baada ya miaka 5 eti kuna mwekezaji mpya!!!
1. Kubagua watejaTuna kawaida mtu akiandika kitu cha kugusa mahala fulani utasikia umetumwa
Mimi naandika haya ambayo nimetendewa na nimeona hii ni fursa ya kuwasilisha dukuduku langu
Huenda nisifunguke sana lakini ITOSHE KUSEMA MORENA HOTELS hasa Morogoro MJIREKEBISHE SANA.
Huduma zenu ni mbovu sana na za KIBABE na si mimi tu nimetendewa, hapo nimeshuhudia watu wengi wakihama kwa HUDUMA MBOVU.
- Kubagua wateja
- Majibu ya kifedhuli na kihafidhina
- Huduma kuchelewa
- Kulisha watu vyakula vilivyooza
- Kudai pesa kila siku hata kwa mteja anayeendelea
Nasikitika kwa sababu hoteli bado mpya lakini huduma hazisadifu uendelevu wake........mtu unaenda kwa moyo kukaa hapo unafika mhudumu utadhani ndiye MTEJA NA WEWE MTEJA UNAGEUKA KAMA MHUDUMU.
Mlichonifanyia MUNGU ATAHUKUMU
View attachment 2893568
Meneja anaendesha hotel kwa uswahili mwingi sana halafu hafananii kabisa.Tuna kawaida mtu akiandika kitu cha kugusa mahala fulani utasikia umetumwa
Mimi naandika haya ambayo nimetendewa na nimeona hii ni fursa ya kuwasilisha dukuduku langu
Huenda nisifunguke sana lakini ITOSHE KUSEMA MORENA HOTELS hasa Morogoro MJIREKEBISHE SANA.
Huduma zenu ni mbovu sana na za KIBABE na si mimi tu nimetendewa, hapo nimeshuhudia watu wengi wakihama kwa HUDUMA MBOVU.
- Kubagua wateja
- Majibu ya kifedhuli na kihafidhina
- Huduma kuchelewa
- Kulisha watu vyakula vilivyooza
- Kudai pesa kila siku hata kwa mteja anayeendelea
Nasikitika kwa sababu hoteli bado mpya lakini huduma hazisadifu uendelevu wake........mtu unaenda kwa moyo kukaa hapo unafika mhudumu utadhani ndiye MTEJA NA WEWE MTEJA UNAGEUKA KAMA MHUDUMU.
Mlichonifanyia MUNGU ATAHUKUMU
View attachment 2893568
Huyo ''mh'' Shabiby ni zezeta kiasi gani mpaka afanyiwe yote haya kwenye biashara yake bila yeye kujua na kuchukuwa hatua? Au pengine ni biashara geresha tu?Mh. Shabiby anahujumiwa. Wakati mwingine vyumbani pananuka mavi, pia aliyemjenge alikuwa muhuni maana nakshi za vyumbani utafikiri nyoka, mifumo ya maji mibovu, makapeti ndiyo usiseme vumbi mno na yananuka. Ukiagizia kitu aisee sahau kuletewa. Kwa ufupi pale hana management kabisa ya hotel.
Boss hiyo hali inatokana na mazingira magumu ya kazi mimi nilifanya kazi hoteli fulani kubwa five star hapa dar tulikua tunahudumia wateja kwa kusimama masaa 8 hadi 12 unatoa huduma huku umechoka akili hadi mwili bado tena unatakiwa utoe kauli nzuri kwa watejaTuna kawaida mtu akiandika kitu cha kugusa mahala fulani utasikia umetumwa
Mimi naandika haya ambayo nimetendewa na nimeona hii ni fursa ya kuwasilisha dukuduku langu
Huenda nisifunguke sana lakini ITOSHE KUSEMA MORENA HOTELS hasa Morogoro MJIREKEBISHE SANA.
Huduma zenu ni mbovu sana na za KIBABE na si mimi tu nimetendewa, hapo nimeshuhudia watu wengi wakihama kwa HUDUMA MBOVU.
- Kubagua wateja
- Majibu ya kifedhuli na kihafidhina
- Huduma kuchelewa
- Kulisha watu vyakula vilivyooza
- Kudai pesa kila siku hata kwa mteja anayeendelea
Nasikitika kwa sababu hoteli bado mpya lakini huduma hazisadifu uendelevu wake........mtu unaenda kwa moyo kukaa hapo unafika mhudumu utadhani ndiye MTEJA NA WEWE MTEJA UNAGEUKA KAMA MHUDUMU.
Mlichonifanyia MUNGU ATAHUKUMU
View attachment 2893568
Welldone mkuu, umenena haswa, Tanzania tuna total system failure, hakuna kitu kinachoenda Sawa bila figisu, ni mizengwe, watu akili zao zimejaa hasira, upigaji, hakuna kuaminiana yaani ni craze, ndio maana royal families hazitibiwi hapa nyumbani au kufia hapa, wote wanakimbilia India,UK, millparkNakubaliana na wewe mkuu ila sasa inatakiwa hata kama mwajiri wako anakunyanyasa basi chukuwa hatua nyingine lakini siyo kulipizia kwa wateja. Kama kazi haikufai basi tafuta nyingine. Nchi yetu tatizo lake kubwa ni kuwa kuna ''total system failure'' ambayo inasababisha ''ripple effect'' kwa society yote.
Na maonezi yote hayo mkafwata mikia yenu, why hamkufanya push back?,ulizia push back ya maboi wa pale Karibu Hotel, White Sands Hotel, hawakua waoga wa kupoteza kazi, Wali fight kudai haki zao, kuna Boi mmoja pale Italian restaurant, Masaki alimeza bill ili kulinda system ya maboi ku make extra cash!!!Boss hiyo hali inatokana na mazingira magumu ya kazi mimi nilifanya kazi hoteli fulani kubwa five star hapa dar tulikua tunahudumia wateja kwa kusimama masaa 8 hadi 12 unatoa huduma huku umechoka akili hadi mwili bado tena unatakiwa utoe kauli nzuri kwa wateja
Kuwe na mteja kusiwe na mteja hakuna kukaa ni kusimama tu bado tena kuna wateja wengine ni wakorofi unatamani hata umrushie ngumi ya kichwa hotelini mazingira ya kazi ni magumu mno msione watoa huduma wamepenzeza kuna mengi wanapitia
Kati ya kitu nisichopenda mimi ni kuingia chumba cha Hotel au lodge nikutane na ile harufu ya chumba, Mashuka n.k.Mh. Shabiby anahujumiwa. Wakati mwingine vyumbani pananuka mavi, pia aliyemjenge alikuwa muhuni maana nakshi za vyumbani utafikiri nyoka, mifumo ya maji mibovu, makapeti ndiyo usiseme vumbi mno na yananuka. Ukiagizia kitu aisee sahau kuletewa. Kwa ufupi pale hana management kabisa ya hotel.
Standards za NEFALAND HOTEL pale Argentina, Manzese nayo inashuka chini, why wanashindwa ku uphold standards zao?Kati ya kitu nisichopenda mimi ni kuingia chumba cha Hotel au lodge nikutane na ile harufu ya chumba, Mashuka n.k.
Sipendii hiyo harufu kama nini, na maeneo niliyowah kumbana na harufu ni
1. Yombo Kijani View (shekilango)
2. Miaka hiyo nilingia Kagame Ubungo, sikulala nililipa na kupotezea kurudi
3. Kuna moja ni mpya (sio ya muda mrefu) hapa nyuma ya MIC hotel ukipita uchochoro wa salon, viduka ukashuka chini kidogo nikikumbuka jina lake nitaweka. (hii vyumba vina nafasi pana, ila hiyo nafasi imejaa harufu sijui ile harufu inatokana na nini.
4. Lion Hotel Sinza wale wale tuvutanda ukijigeuza uko sakafuni
5. Kibadamo vyumba vidogo vilivyopo vinatoa harufu sanaaaa, ila vile vikubwa vina usafi wa kuridhisha, huwa nauliza vyumba vikubwa vipo au vimeisha, wakisema vimeisha naondoka, maana muziki wa vile vyumba vidogo utakoma
6. Mkomilo Sinza barabara ya kwenda Tandale, milango yenu ya baadhi ya vyumba hasa bafuni inapiga kelele sana ikifunguliwa na kufungwa na baadhi ya vyoo viko hoi. Ila mnajitahidi brekafast yenu iko vizuri.
7. Asilimia 90% ya hotel za Kariakoo zinatoa harufu kuanzia kwenye lift
Zinanuka ndugu zangu acheni tu,
Ni advanced Guest houseHuduma zenu ni mbovu sana na za KIBABE na si mimi tu nimetendewa, hapo nimeshuhudia watu wengi wakihama kwa HUDUMA MBOVU.
- Kubagua wateja
- Majibu ya kifedhuli na kihafidhina
- Huduma kuchelewa
- Kulisha watu vyakula vilivyooza
- Kudai pesa kila siku hata kwa mteja anayeendelea
Nasikitika kwa sababu hoteli bado mpya lakini huduma hazisadifu uendelevu wake........mtu unaenda kwa moyo kukaa hapo unafika mhudumu utadhani ndiye MTEJA NA WEWE MTEJA UNAGEUKA KAMA MHUDUMU.
Labda ameajiri waswahili wa Kichangani na Kilakala wanawaza ngoma muda woteMtanzania hata umpe mafunzo mpaka mbinguni, kwenye huduma kwa wateja ni sifuri.
Nitafika hapo nijionee mkuu, hii mijengo mikuubwa, mireefu kwenda juu ni mbwembwe tu nimejifunza, unaweza tafuta kilodge mahali cha kawaida ukaenjoy hali ya vyumba kuliko hii mijengo au jina kubwa la Hotel.Standards za NEFALAND HOTEL pale Argentina, Manzese nayo inashuka chini, why wanashindwa ku uphold standards zao?
Majibu ya kihafidhina ndo yapi?Majibu ya kifedhuli na kihafidhina
Haya hili umejibu.Sasa kama Unaendelea si ulipe kabisa siku zote utakazokaa? Au uwe unalipia Kila siku.Ulitaka ukope kijanja halafu utokomee gizani pesa Yao wangepata wapi? Lipa kabisa ndio ulale siku husika
Kama kuna ka Ukweli sasaMh. Shabiby anahujumiwa. Wakati mwingine vyumbani pananuka mavi, pia aliyemjenge alikuwa muhuni maana nakshi za vyumbani utafikiri nyoka, mifumo ya maji mibovu, makapeti ndiyo usiseme vumbi mno na yananuka. Ukiagizia kitu aisee sahau kuletewa. Kwa ufupi pale hana management kabisa ya hotel.
Halafu nipe mrejesho, jamaa yangu alifikia pale December baada ya mimi kumshauri aende pale (hii hotel ilisemwa vizuri humu JF),experience aliyoipata pale Alii rate C,pamoja na kulipa chumba 80k,binafsi nilitembelea Lushoto kwa mara ya kwanza maishani mwangu, kuna lodge kule ina cost 250k per night, na siku hiyo ilikua full booked!!,Mwenyezi Mungu akinipa uhai nitakwenda tena nikaone chumba cha 250k ndani ya Lushoto!!Nitafika hapo nijionee mkuu, hii mijengo mikuubwa, mireefu kwenda juu ni mbwembwe tu nimejifunza, unaweza tafuta kilodge mahali cha kawaida ukaenjoy hali ya vyumba kuliko hii mijengo au jina kubwa la Hotel.