Kuhusu vyakuka vilivyooza Mimi
Zogwale ni shuhuda wa niliyofanyiwa na Morena hotel Morogoro. Nililala pale siku 2. Siku ya pili nikaagiza local chicken makange na mashed potato room service. Baada ya kula ikaopita nusu saa nikaanza kutapika Sana na baada ya masaa 3 nikaanza kuharisha vibaya mno. Asubuhi mpaka nilishindwa kupata breakfast. Baadaye nikahitaji kuonana na manager. Ukweli alikuwa anaongea kwa arrogance Sana na sikuona hata akijali. Nikaondoka late pale kurudi DSM. Yaani njia nzima Mungu ndiyo alinifikisha nyumbani. Yaani hata hawakunipigia simu kuulizia Hali. Vyumbani baadhi ya vifaa kama mabafuni ni hovyo kabisa mabomba yanavuja na shower hazifanyi KAZI. Mh Shabby UNA NIA NJEMA ILA HUNA UONGOZI KATIKA HOTEL ZAKO HASA MOROGORO. DODOMA NIMELALA MARA MOJA KUNA AFADHLI KIDOGO.