Sega la asali
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 1,153
- 2,700
Tatizo kubwa ni waajiri kula waajiriwa, huwa inawapa kiburi wakijua uchi wa mwajiriNa ukiona mpokea mshahara anafanya hayo ujue kuna dalili hapati stahiki zake vzuri na kwa wakati lakin pia huenda wanapitia mazingira magumu sana ya kazi
Wako wenyeee eneo husika? au wana kipi unique hadi mkomalie hapo hapo? Wabongo tumezidi ujingaWanaoongoza kwa jeuri na maringo siku zote ni waaajiriwa....
Sio maofisini, Safarini, mahotelini..
Mhusika mwenyewe hana hizo mambo, nenda kwa mpokea mshahara sasa..
Background ndio inawatesa Sana waajiriwa wa namna hio.
🤣🤣🤣🤣 mkuu umechanganya Quotes, mi hata siijui hio hotel.Wako wenyeee eneo husika? au wana kipi unique hadi mkomalie hapo hapo? Wabongo tumezidi ujinga
Hii principal nzuri sana Watu8 Ni vizuri kila mtu aifuateTafuta sehemu nyingine mzee baba, mimi huwa na kauli moja "sibembelezi mtu ninayempa pesa yangu"
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, na huu hapa ndio ukweli wenyewe!Mkuu kuna mengine. Tanzania huduma kwa wateja ni majanga. Nenda popote. Hata mfanyakazi alipwe nini, ila tumeshajijengea utamaduni wa kudharau wateja. Nadhani hii ilianza kipindi cha ujamaa wakati vitu vilikuwa vimeadimika na huduma nyinge zikiwa zinatolewa na serikali na sekta zake. Bado hujaweka tatizo jingine la wizi na uvivu.
wazo zuriEndeleeni kuweka hotel zingine na uzuri wao pia, na zile mbaya zibainishwe pia
Tuambie hotel gan ulienda ukaenjoy kwa nini ba hotel gani ulienda ukajutia ni kwa nini?......Umeshajua usiende tena