Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Mie nimeenda hoteli nyingi sasa kwa kupewa offer ,nanyingi nzuri. Sasa labda hizi lodges ndogo ndogo kero ni huduma zao kuanzia chakula na malazi . Halafu ilikuwa kama 2. Saivi nimetulia home sio zamani kutolewa outings na safaris. Za hapa na paleTuambie hotel gan ulienda ukaenjoy kwa nini ba hotel gani ulienda ukajutia ni kwa nini?......
Nyingi ila changamoto alizosema hapo ni kama zipo hotel nyingi hizo unazosema, mfano hapa round abt ya SUA kuna ile hotel ya jina la Ulaya, i think EuropeMoro hoteli ni nyingi
Good naration, hivi kwa bongo hatuna sheria ya kushtak mtu akikupa chakula kinachokusababishia madhala ya kiafya? Huwez lipia hela upewe kifo au maradhi.Kuhusu vyakuka vilivyooza Mimi Zogwale ni shuhuda wa niliyofanyiwa na Morena hotel Morogoro. Nililala pale siku 2. Siku ya pili nikaagiza local chicken makange na mashed potato room service. Baada ya kula ikaopita nusu saa nikaanza kutapika Sana na baada ya masaa 3 nikaanza kuharisha vibaya mno. Asubuhi mpaka nilishindwa kupata breakfast. Baadaye nikahitaji kuonana na manager. Ukweli alikuwa anaongea kwa arrogance Sana na sikuona hata akijali. Nikaondoka late pale kurudi DSM. Yaani njia nzima Mungu ndiyo alinifikisha nyumbani. Yaani hata hawakunipigia simu kuulizia Hali. Vyumbani baadhi ya vifaa kama mabafuni ni hovyo kabisa mabomba yanavuja na shower hazifanyi KAZI. Mh Shabby UNA NIA NJEMA ILA HUNA UONGOZI KATIKA HOTEL ZAKO HASA MOROGORO. DODOMA NIMELALA MARA MOJA KUNA AFADHLI KIDOGO.
Inaumiza, na Serikali na taasisi za binafsi vikao vingi wanapenda kufanyia pale...Morena zote, si ya Dodoma, si ya morogoro, huduma ni mbovu, vyakula vibaya, managment mbaya. Tena Bora ya Dodoma, ya morogoro ni mpya lakini huduma mbovu kabisa.
Sio Tanzania, kuajiri watanzania ni changamoto kuna wakati Natamani iondolewe work permit wageni wachukue ajira washindane nasi kwenye ufanisiNa ukiona mpokea mshahara anafanya hayo ujue kuna dalili hapati stahiki zake vzuri na kwa wakati lakin pia huenda wanapitia mazingira magumu sana ya kazi
Upo sahihi sanaTatizo la waajiriwa ni kulipwa mshahara badala ya kamisheni. Mtu angelipwa kamisheni, angeheshimu sana kazi. Mshahara unafanya watu wawe wavivu na wenye viburi.
Hasa ukipata mpya mpya haijatumika sana unaenjoy kuliko Dodoma HotelBasi niendelee kulala lodge za 20k tu kama hayo ndiyo yaliyomo.