Hotels za Tanga acheni huu upuuzi, mnatia kichefuchefu

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Mwezi mmoja uliopita nilifikia Hotel flani ya kipato cha chini tu ya tsh 80,000 per night. Nikakuta kandambili wamezikata eti mteja asije akaondoka nazo. Nikawaza sana. Yaani mteja anayelipa tsh 80,000 per night aondoke na kandambili za tsh 3,000? Kweli?

Leo nimefikia Hotel nyingine ipo sehemu tulivu karibu na ******* nakuta wameweka kandambili bafuni moja ya Blue nyingine nyekundu. Nikaona hawa watu hawapo serious. Yaani nimelipa tsh 120,000 waniwekee aina hii ya kandambili?

Acheni huu upuuzi bwana. Mnatia kichefu chefu na hizo kandambili zenu.
 
Hizo hotel hazina majina?

Kama unayo hiyo 120,000 kalale mkonge ama hotel yoyote ya kistaarabu,

Ama hesabu vizuri maybe umeongeza sifuri mbele kimakosa.
Mwajuma huoni kuna mkato kwenye hizo tarakimu? Unajua maana yake huo mkato? Unadhani ni sahihi kutaja majina ya hizo Hotels kwa mujibu wa kanuni za JF?
 
Mwezi mmoja uliopita nilifikia Hotel flani ya kipato cha chini tu ya tsh 80,000 per night. Nikakuta kandambili wamezikata eti mteja asije akaondoka nazo. Nikawaza sana. Yaani mteja anayelipa tsh 80,000 per night aondoke na kandambili za tsh 3,000? Kweli?

Leo nimefikia Hotel nyingine ipo sehemu tulivu karibu na ******* nakuta wameweka kandambili bafuni moja ya Blue nyingine nyekundu. Nikaona hawa watu hawapo serious. Yaani nimelipa tsh 120,000 waniwekee aina hii ya kandambili?

Acheni huu upuuzi bwana. Mnatia kichefu chefu na hizo kandambili zenu.
Wamekusikia mteja wa guest za chooni tuu au ulitaka kukata nazo mitaa!
 
Mwezi mmoja uliopita nilifikia Hotel flani ya kipato cha chini tu ya tsh 80,000 per night. Nikakuta kandambili wamezikata eti mteja asije akaondoka nazo. Nikawaza sana. Yaani mteja anayelipa tsh 80,000 per night aondoke na kandambili za tsh 3,000? Kweli?

Leo nimefikia Hotel nyingine ipo sehemu tulivu karibu na ******* nakuta wameweka kandambili bafuni moja ya Blue nyingine nyekundu. Nikaona hawa watu hawapo serious. Yaani nimelipa tsh 120,000 waniwekee aina hii ya kandambili?

Acheni huu upuuzi bwana. Mnatia kichefu chefu na hizo kandambili zenu.
Kuna mama mmoja alikua Naibu Waziri huko CCM alikua anaiba hadi taulo za hotelini. CCM imelewa wizi umekita mizizi.

Ndo maana nawewe unazitamani ndala za watu.
 
Back
Top Bottom