Hotels za Tanga acheni huu upuuzi, mnatia kichefuchefu

Mwezi mmoja uliopita nilifikia Hotel flani ya kipato cha chini tu ya tsh 80,000 per night. Nikakuta kandambili wamezikata eti mteja asije akaondoka nazo. Nikawaza sana. Yaani mteja anayelipa tsh 80,000 per night aondoke na kandambili za tsh 3,000? Kweli?

Leo nimefikia Hotel nyingine ipo sehemu tulivu karibu na ******* nakuta wameweka kandambili bafuni moja ya Blue nyingine nyekundu. Nikaona hawa watu hawapo serious. Yaani nimelipa tsh 120,000 waniwekee aina hii ya kandambili?

Acheni huu upuuzi bwana. Mnatia kichefu chefu na hizo kandambili zenu.
Una maana 8,000 na 12,000 au 80,000 na 120,000?
 
Tanzania swala la marketing na Thinking level unaweza kudhani hakuna Binadamu😂😂😂

Hizo hotel hapo Dar ndio kichefu chefu
 
Ok. Nakuelewa. But ni woga tu mnakuwa nao kwetu sisi wanaume. Huo muda tunatoa wapi? Tunakuja tupo busy hata muda wa kuwaza mademu hatuna. Mnajishtukia tu.

Umefika room upo busy huna muda wa kuwaza madem ila muda wa kuwaza kuhusu kanda 2 unao?
 
Chai hii. Lodge za 30k siku hizi hukuti huo uswahili sembuse hizo za 80k. Toka hapa na uongo wako.
 
Back
Top Bottom