Hotels za Tanga acheni huu upuuzi, mnatia kichefuchefu

Una maana 8,000 na 12,000 au 80,000 na 120,000?
 
Tanzania swala la marketing na Thinking level unaweza kudhani hakuna Binadamu😂😂😂

Hizo hotel hapo Dar ndio kichefu chefu
 
Ok. Nakuelewa. But ni woga tu mnakuwa nao kwetu sisi wanaume. Huo muda tunatoa wapi? Tunakuja tupo busy hata muda wa kuwaza mademu hatuna. Mnajishtukia tu.

Umefika room upo busy huna muda wa kuwaza madem ila muda wa kuwaza kuhusu kanda 2 unao?
 
Chai hii. Lodge za 30k siku hizi hukuti huo uswahili sembuse hizo za 80k. Toka hapa na uongo wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…