Hotels za Tanga acheni huu upuuzi, mnatia kichefuchefu

80,000. 120,000 tanga beach resort na mkonge hotels unalala fresh tu na hizo mambo hazipo... we umelala kajamba nani tu acha kutupanga
 
Uwe unampa receptionist.
 
80,000. 120,000 tanga beach resort na mkonge hotels unalala fresh tu na hizo mambo hazipo... we umelala kajamba nani tu acha kutupanga
Daaah nliambiwa kuwa wanawake wa Tanga watanichamba nikabisa. Siwezi bishana nanyi. Siwezi kabisa.
 
Hizo ni Guest House za elfu 20 ndiko ulikofikia na si kwenye hotel!
 
Kwani kuna watu wanaiba hata ndala?
Niliona mtu anaweka kwenye begi vile vishuka abiria wanapewa halafu hukusanywa kabla ya kumaliza safari kwenye baadhi ya mashirika ya ndege.

Hata mataulo ya hotel nashasikia watu wakisema baadhi ya wateja hubeba.
 
Ni roho za kimaskini na kibinafsi.
 
Kwa Tanga Mzee umedanganya Hakuna Hotel inayofanya hivyo..

Maana Tanga napafahamu vizuri na hotel nyingi ninafikia hapo..
Maybe ungesema Lodge na Guest
 
Kwa Tanga Mzee umedanganya Hakuna Hotel inayofanya hivyo..

Maana Tanga napafahamu vizuri na hotel nyingi ninafikia hapo..
Maybe ungesema Lodge na Guest
Daaah nliambiwa kuwa wanawake wa Tanga watanichamba nikabisa. Siwezi bishana nanyi. Siwezi kabisa.
 
Daaah nliambiwa kuwa wanawake wa Tanga watanichamba nikabisa. Siwezi bishana nanyi. Siwezi kabisa.
Hapana mimi sio mtu wa huko ila mara nyingi nikiwa naenda huko hutumia Hotel za huko na semina nyingi nimefanya huko pia..Nimeenda huko Mara nyingi sana Na hakuna unachosema..
 
Heeeh... Mbona mwandiko wako ndo wenyewe kabisa? Hata kutembea kwako?
 
Nafkiri umeongeza sifuri kwenye hizo bei
 
Kwani zile huwa ni reusable?
Sasa utakuta umewekewa pcs kadhaa, umetumia moja tu, unabeba nyingine unapeleka wapi? na hapa nazungumzia zile hotel nyota kadhaa ambapo vikolombwezo vinakuwa vingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…