Hotuba hii JD Vance, Makamu wa Rais wa Marekani alikuwa anawaambia watu wa Ulaya lakini ukweli ni nchi zote za dunia hii na Tanzania ikiwemo,
kifupi JD anawaambia viongozi wa Ulaya waache tabia ya kuwatenga, kuwaadhibu, kuwateka na kuwabambikia kesi raia wao wenye mawazo tofauti na yao, badala yake wakae nao wajadiliane na kufikia mwafaka, watu hao wenye mawazo mbadala hawajakuwa wengi sana na kutumia njia mbaya za kudai hicho wanachokidai.