GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Waheshimiwa Waafrika wenzangu mlioko hapa Mosi kabisa nipende kuchukua Fursa hii Kunikaribisha Mimi GENTAMYCINE kuja Kujumuika nanyi katika hili Tukio lenu la kutimiza Miaka 120-60 katika Kuanzishwa Kwenu. Hakika mnastahili pongezi.
Pili naomba nichukue Fursa hii binafsi na kwa Serikali yangu ninayoiongoza kutoa Pole zangu nyingi kabisa na za dhati kwa yale yote Mabaya yaliyotokea ambayo ama yamepelekea Watu kuwa Walemavu au hata Kuuwawa kwa sababu moja au nyingine.
Tatu nichukue nafasi hii kuwapongeza Waafrika ninaowaongoza kwa Kupaza Kwao Sauti kusikochoka juu ya Kukemea yanayotokea na hata pia Kuwashauri nyie mnaosheherekea leo hii miaka yenu 120-60 tangu Kuanzishwa. Hakika Waafrika hawa wanatoa Msaada mkubwa kwenu ili tuwe na Amani.
Nne niwaombe sana Radhi Mabalozi wenye Uwakilishi wao husika hapa Afrika Nation kwa Kukwaza na si tu kilichotokea hivi karibuni bali pia hata kwa yale ambayo yaliyokea nikiwa Namba Mbili wa Namba Moja aliyepumzika Mazima sasa huko Ziwani.
Tano GENTAMYCINE nimeshangaa kabisa Kukaribishwa leo hii hapa Shimo PCC na Mtu ambaye nilidhani Yeye pamoja na Mwenzake Nimesahau Nini tokea Wiki iliyopita walitakiwa wawe wameshakuja Kwangu Kukabidhi Nyaraka za Ofisi zao ili haraka sana nitafute Wabadala wao ila bila ya Aibu bado wapo.
Sita naomba niwaahidi Watendaji wote ambao leo mnasheherekea hii miaka yenu ya 120-60 tangu Kuanzishwa Kwenu kuwa naenda Kufanya mabadiliko makubwa ndani yenu (hasa ya Kimfumo) huku nikiwaondoa wale Wote ambao wanaharibu Sifa ya hii Taasisi hadi huko nje wanatushangaa.
Saba (nikimalizia) Hotuba yangu ni kwamba GENTAMYCINE nipende Kuwashukuru sana wale Keyboard Warriors(Watu ambao kutwa wanashinda mitandaoni hasa JamiiForums) kutoa Maoni yao mbalimbali juu ya nchi yetu hii ya Afrika Nation kwani kiukweli huwa nawasoma mno na wananisaidia mno.
Mungu Ibariki Afrika
Mungu Afrika Nation
Mungu Ubariki Mtandao wa JamiiForums