Hotuba kwa Wazee wa Dar: Rais Samia kuteua Viongozi bila kujali itikadi za Vyama

Hotuba kwa Wazee wa Dar: Rais Samia kuteua Viongozi bila kujali itikadi za Vyama

Rais Samia amesema kuanza sasa ataanza kuteua wachapakazi bila kujali itikadi ya kisiasa katika Serikali yake.

Amewataka watanzania kujiandaa kisaikolojia kupokea mabadiliko yatakayoleta Umoja wa Kitaifa.

Huko mbele katika kupanga safu za kujenga uchumi sitochagua, Mtanzania yeyote mwenye weledi na umahiri anayeweza kuleta manufaa kwa Taifa nitamuingiza afanye kazi, sitochagua huyu katoka Chama kipi yule katoka Chama gani lengo letu ni kujenga umoja wa Watanzania

Hii inapunguza wanasiasa kuwa wanafiki maana upinzani hajafikia CCM lakini sio mdogo hivyo ni kama 40% na sio 0% kama wanavyo aminisha watu
 
Sioni jipya hapa.

JPM aliwateua akina Kitila Mkumbo, David Kafulila,Wilbroad Slaa, Julius Mtatiro na Anna Mghwila wakiwa upinzani ! Issue ni kuwa ukishateuliwa inabidi ukubali kutekeleza ilani ya CCM, na hapo ndipo ulipo ugumu kwa vyama vya upinzani; ni ugumu huo unaowalizimisha wateule kuhama vyama baada ya kuteuliwa.
Unajuwa maana ya Umoja wa kitaifa bwana Mataga [emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223]
 
hapo nimempigia makofi ya nguvu.
ni kweli watanzania wanataka maendeleo sio maneno.

asiye weza kuendana na aina ya uongozi ni bora akatupisha kuliko kutuwekea giza.

wapo baadhi ya mawaziri wanatuwekea kiwingu, either hawataki kuendana na aina ya uongozi au wameamua tu kupaki basi, hao kamwe wasivumiliwe.

Pia kuna baadhi ya watendaji ni kama vile wame relax, kamwe wasifumbiwe macho.

kuna watanzania zaidi ya milioni 50.
 
Akikuteua lazima utekereze ilani ya chama,sioni jipya hapo hata akina Anna Ngwila, Magufuri aliwapa vyeo kutoka upinzani lakini wakatekereza ilani ya ccm.upinzani wa Tanzania tatizo sio ccm bali alikuwa Magufuri[emoji1][emoji1][emoji1][emoji16]Samia kaja kuumaliza upinzani kabisa,maana atachukuliwa mwenye ndomo anapewa kipande cha myama[emoji1][emoji1][emoji1][emoji16]
Hakuna mtanzania aliye penda kuingia upinzani kama fashion.

Watu waliona kwenda upinzani ingekuwa ni option ya kutafuta wapi pana unafuu wa kiuongozi.

Ccm ya magufuli ilikuwa ni kuwatesa watu, kuwabambikia kesi, kuwabagua .

Leo hii mama Samia ameamua kuyafyekeleeeeeaaaa mbali hayo mambo ya kikaburu .
 
Safi kabisa kama akina Mghwira, Silinde ,Katambi, Kitila Mkumbo etc.

NB. Mama usimwingize kabisa mzee wa miga mtetea ushoga Lisu
Unaelewa nini kuhusu umoja wa kitaifa ndugu MATAGA? [emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223]
 
Wapinzan watashangilia sana pasipo kujua ndo wanaunga juhudi indirect.
 
Unajuwa maana ya Umoja wa kitaifa bwana Mataga [emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223]
Mjuaji wewe; niambie sasa maana ya umoja wa kitaifa. Yaani wewe ongoza chama chochote cha upinzani ila tegemea nafasi ya uongozi wa serikali kwa vile uko upizani kwa kisingizio cha umoja wa kitaifa? Ni kioja kilichoko Afrika tu. Hatua ya kwanza ya kioja hicho ilikuwa Zanzibar halafu kikahamia Kenya na kikaishia Zimbabwe kabla ya kurudi Zanzibar tena.

Demokrasi haina kitu kinaitwa umoja wa kitaifa, ila hilo ni takwa la anayeongoza serikali wakati huo kulingana na powers za kuteua alizo nazo kikatiba. Kwa miaka kama 60, kila rais wa marekani alikuwa akiteua waziri angalu mmoja kutoke nje ya chma chake, lakini Trump alikuka utaratibu hakuteua mtu ambaye siyo republican tena royal kwake, kwa hiyo nadhani hata Biden hajachukua hatua yoyote ya kuteua republican, which is fine. Hakuna aliyekiuka katiba.
 
Sasa ni wakati umefika kumtumia vizuri TUNDU ANTIPASS LISSU kwenye masuala ya Sheria,naye atoe mchango wake kwa taifa,jamaa kwenye Sheria ameiva mnooo!!!
Watanzania tuko nawewe Mama.
 
Ni ajabu sana kuona watu wanvyoweza kuchotwa akili kirahisi rahisi.

Hapa ndipo unapoweza kuwatambua mamluki waliojazana huko kwenye vyama, na wafia vyama wenyewe.

Heko mkuu BAK.
Kwahiyo mamawia, babati na wengineo wanaodemka hapa ni mamluki?
 
Sijui wanachishangilia Hawa bavicha ni nini, maana hata magu aliwateua kitila mkumbo, Anna mghwira
Hao walikana vyama vyao mzee mbona kama unajitoa ufahamu [emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223]
 
Mjuaji wewe; niambie sasa maana ya umoja wa kitaifa. Yaani wewe ongoza chama chochote cha upinzani ila tegemea nafasi ya uongozi wa serikali kwa vile uko upizani kwa kisingizio cha umoja wa kitaifa? Ni kioja kilichoko Afrika tu. Hatua ya kwanza ya kioja hicho ilikuwa Zanzibar halafu kikahamia Kenya na kikaishia Zimbabwe kabla ya kurudi Zanzibar tena.

Demokrasi haina kitu kinaitwa umoja wa kitaifa, ila hilo ni takwa la anayeongoza serikali wakati huo kulingana na powers za kuteua alizo nazo kikatiba. Kwa miaka kama 60, kila rais wa marekani alikuwa akiteua waziri angalu mmoja kutoke nje ya chma chake, lakini Trump alikuka utaratibu hakuteua mtu ambaye siyo republican tena royal kwake, kwa hiyo nadhani hata Biden hajachukua hatua yoyote ya kuteua republican, which is fine. Hakuna aliyekiuka katiba.

and then, they will forget tume huru na katiba mpya

watakumbuka akitokea mtu kama JPM awaulize kwani sheria inasemaje? katiba inasemaje?

mama anacheza na vichwa vya wapinzani vyema kabisa
 
and then, they will forget tume huru na katiba mpya

watakumbuka akitokea mtu kama JPM awaulize kwani sheria inasemaje? katiba inasemaje?

mama anacheza na vichwa vya wapinzani vyema kabisa
Umoja wa kitaifa ni muhimu!
 
Back
Top Bottom