kikokotoo kipya
JF-Expert Member
- Dec 18, 2018
- 441
- 488
Maneno ya busara na hekima, ukiyaweka kwenye mizani ya aina yoyote yana balance. Nchi ni ya kila mwananchi tofauti ya vyama ni kama tofauti ya dini tu, hakuna sababu ya mtu mwenye weledi wa kutosha kujenga nchi kuachwa nje ya mfumo wa kujenga na kuendeleza nchi,kwasababu tu si wa chama chetu kuna watanzania wengi wasio na vyama lakini hawapewi nafasi, kwasababu tu siyo wetu. Mama Mungu akutie nguvu. hatuwezi kupewa nafasi wote, lakini watakao pata watawakilisha umoja wa kitaifa kwa vitendo na si maneno tu tuwe wamoja huku tukibaguana kwenye kujenga nchi yetu.