Hotuba kwa Wazee wa Dar: Rais Samia kuteua Viongozi bila kujali itikadi za Vyama

Hotuba kwa Wazee wa Dar: Rais Samia kuteua Viongozi bila kujali itikadi za Vyama

Maneno ya busara na hekima, ukiyaweka kwenye mizani ya aina yoyote yana balance. Nchi ni ya kila mwananchi tofauti ya vyama ni kama tofauti ya dini tu, hakuna sababu ya mtu mwenye weledi wa kutosha kujenga nchi kuachwa nje ya mfumo wa kujenga na kuendeleza nchi,kwasababu tu si wa chama chetu kuna watanzania wengi wasio na vyama lakini hawapewi nafasi, kwasababu tu siyo wetu. Mama Mungu akutie nguvu. hatuwezi kupewa nafasi wote, lakini watakao pata watawakilisha umoja wa kitaifa kwa vitendo na si maneno tu tuwe wamoja huku tukibaguana kwenye kujenga nchi yetu.
 
Itakuwa jambo la maana sana ikiwa itapatikana kabla ya 2025 na itokane na rasimu ya Tume ya Warioba. Kinyume cha hapo ni usanii tu.
Yeye ndo alichangia katiba mpya isiwepo kipindi akiwa mwenyekiti msaidizi.
Tumshangilie tu.
 
Mataga. Hili unapinga au unasapoti?

Hahaha...Misukule ya jiwe mmevurugika. Katika hili hujui upinge au usapoti.
Kwani Mwenda zake sindio kaanza kuwapa upinzani shavu mapema sana.
Au munasahau makusudi tu?
Anna mungwila,Dk Molell,naibu waziri tamisemi,waziri wa viwanda.
Katibu mkuu wa chama mstaafu Bashiru.
 
Sasa hivi ukweli kuhusu matendo yake anaujua na kama anaitakia nchi mambo mema hawezi kurudia ujinga alioshiriki kuufanya.
Yeye ndo alichangia katiba mpya isiwepo kipindi akiwa mwenyekiti msaidizi.
Tumshangilie tu.
 
Mataga. Hili unapinga au unasapoti?

Hahaha...Misukule ya jiwe mmevurugika. Katika hili hujui upinge au usapoti.
Napingaje sasa?

Sisi ccm tunaridhia wapinzani wapewe vyeo waache kulia lia
 
[emoji16][emoji16][emoji16] aliahidiwa kazi ndogondogo, alivyo mbishi atataka kuwa waziri wa mambo ya nje ama waziri wa katiba.
[emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja tuone mama atampa nafasi gani
 
Mama ndio mwenyekiti wa CCM na wamempitisha kwa 100% .kauli ya mwenyekiti ina nguvu
Mkuu, usifanye mchezo na maslahi ya watu. Tumbo likidai, na huku Mwenyekiti shaonekana hana 'interest' na wao, ni lazima utasikia tu manung'uniko; na hasa pakiwa inafahamika kwamba mwenyekiti mwenyewe hawezi kutumia mabavu kama alivyokuwa aliyepita; hapatakuwa na woga tena, sauti zitasikika tu, hata kwa visingizio vya mambo mengine yatakayokuwa yakiibuka serikalini na huko kwenye vyama.
 
Back
Top Bottom