Hotuba na Ziara za Hayati Magufuli zilikuwa zinafuatilia sana kuliko zile za Mrithi wake

Wasukuma kwa nchi yetu ni wengi.
Hivyo kwa utafiti huo ulofanya kwq wasukuma wenzio 80% true ila nenda kwa wangoni,wayao,wapare,wamakua,wameru,wahaya,wachaga, wangido......+20% pekee ndo watamsikiliza shetani mkuu
 
Aliwasaidia kwa kudhibiti mfumko wa bei.
Debe la mahindi tulinunua hadi kwa shilingi elfu tatu tu (3,000/=). Leo tunanunua elfu ishirini na tano (25,000/=)!
We mjinga wakati wakulima walikuwa wanalia kupata hasara.
 
Kwamba sisi wengine hatukuwepo hapa nchini kipindi hicho? Maana hayo unayoyasema ni uongo mtupu. Au ndo nyinyi mliotengewa mabilioni ya kumchafua Hayati mitandaoni?!!
We mjinga vitu vilianza panda Bei wakati wa huyo mfu wenu. Tatizo mna usahaulifu uliokomaa
 
Kwa sababu alikuwa waluwalu na kinyambe so lazima watu wajue ametoa Boko gani siku hiyo.
 
Hilo halipingiki kabisaaaa.. alijua kuvutia wengi.. mrithi bado ana nafasi ya kuvutia wengi na hata zaidi akitaka.. Ila ndio ujuzi inaingia.. usawa hakuna..
 
Ndo mana Mama kaungana na wapinzani kuongeza views,sio unafiki huku mtaani Mama kwakweli atafte pa kukimbilia baada ya uchaguzi itakuwa Aibu....Nashangaa wamama aanamkataaa.
 
Hao masikini kipi aliwasaidia?ki uchi,kiafya na kisiasa?zaidi ya kuwaaminisha kuwa unyonge ni sifa?!!
Bora yule aliyewapa masikini nafasi yakujitafutia riziki sehemu yoyote kama machinga na ikaleta tija nakusistiza tufanye kazi kwa bidii nakulipa kodi kwa maendeleo ya nchi kuliko huyu anayejifanya kafungua nchi kumbe hamna kila kitu kwangu pakavu
 
Mediocre hawawezi kumuelewa Magufuli. Ndio maana ni miaka miwili toka afariki lakini bado wanamuwaza na kuona kama chanzo cha matatizo yao.
 
Yule mahotuba ya Magufuli yalikuwa yamejaa ushamba, misifa, matusi ns lugha ya hovyo. Rais anapoongea Kisukuma kwenye jukwaa na kula mahindi kama nyani halafu eti unamsifia, basi na wewe ni punguani.
 
Bora yule aliyewapa masikini nafasi yakujitafutia riziki sehemu yoyote kama machinga na ikaleta tija nakusistiza tufanye kazi kwa bidii nakulipa kodi kwa maendeleo ya nchi kuliko huyu anayejifanya kafungua nchi kumbe hamna kila kitu kwangu pakavu
Tija ipi hiyo?kwa kodi gani hiyo waliyolipa kama Tz nzima wenye vitambulisho vya ujasiliamali walikuwa wachache kuzidi hata wale tu waliopo kariakoo!!!vi wawekezaji wangapi waliondoka kutokana na matamko ya kishamba?!!eti mfanye kazi lwa bidii hizo kazi zilikuwa wapi?kama hizo ajira tu za serikalini zilimshinda ndio angeweza sekta binafsi wakati alishaiua?!!
 
Acha ushamba kama alishindwa kwenye ajira mama yako naye anashindwa nini kuajiri si yupo sasa zaidi ya miaka miwili!? Mwambie atoe ajira usiniambie kuwa jpm alimaliza hela kwenye hazina sababu anayokopa ni nyingi kwa sasa.unazungumzia wawekezaji au wakwepa kodi waliondoka!?
 
Vyeti feki mna makasiriko
 
Wewe unakaa Kwa shemeji yako. Unaishi Kwa nguvu ya mauno ya dada yako
 
Kwamba sisi wengine hatukuwepo hapa nchini kipindi hicho? Maana hayo unayoyasema ni uongo mtupu. Au ndo nyinyi mliotengewa mabilioni ya kumchafua Hayati mitandaoni?!!
Acheni malumbano.
Nendeni mtafute I Cyprian Musiba atawambia yote. Na alikuwa analipwaje Kwa kiasi gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…