Hotuba na Ziara za Hayati Magufuli zilikuwa zinafuatilia sana kuliko zile za Mrithi wake

Hotuba na Ziara za Hayati Magufuli zilikuwa zinafuatilia sana kuliko zile za Mrithi wake

Asalaam Aleykum wana JF.
Nawapenda sana. Nadondoka kwenye mada moja kwa moja.

Kulingana na utafiti mfupi nilioufanya, nimegundua kwamba Hotuba na ziara za Hayati JPM zilikuwa zinafuatiliwa na kusikilizwa na Watanzania wengi sana. Hii ni tofauti ukija kwa Hotuba na ziara za mrithi wake ambaye anaonekana kutokuwa na mvuto kwa Watanzania wengi hasa hasa kwa wanawake na vijana!

Unaweza kushuhudia hili kupitia kwa maongezi ya Watanzania wengi ambao walionekana kumwelewa zaidi Hayati kutokana na jinsi alivyokuwa anaonekana kuguswa na changamoto zinazowakabili hasa hasa Watanzania wa hali ya chini (aka wanyonge).

Huyu wa sasa hana mvuto kwa wengi kutokana na ile hali ya kuwajali zaidi matajiri na wale wa tabaka la juu kuliko maskini. Fuatilia mitandao ya kijamii, Instagram, YouTube, Facebook n.k, utaona hata idadi ya watazamaji/ wafiatiliaji (viewers) kwa hotuba za mama, ziko chini sana kulinganisha na zile za mtangulizi wake.

Naomba kuweka ushahidi hapa chini (angalia idadi ya "viewers").

View attachment 2547753View attachment 2547754View attachment 2547755View attachment 2547756View attachment 2547757View attachment 2547758


Hata Dikteta Iddi Amini alikuwa anafuatiliwa sana sio Uganda tu bali hata na nchi za nje kutokana na vituko vyake.
 
He was more of a clown rather than a comedian sasa mtu anapiga push up mara anakimbikimbia, Mara anakula mahindi kwenye mkutano wa wananchi, such a guy 😃🤔🤔
 
Back
Top Bottom