Hotuba nzuri ya kwanza ya Lissu tangu nimfahamu

Hotuba nzuri ya kwanza ya Lissu tangu nimfahamu

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Mnyonge mnyongeni lakini mpeni haki yake. Kwa hotuba Lissu ameshaanza kukomaa.

Bado TU kutueleza ni kwa vipi ataondoa umaskini kwa watanzania na vipi ataboresha elimu, afya, kilimo, uchimbaji, biashara, uvuvi na ufugaji kama chadema ikipewa ridhaa.

Hata Ruto aliimba hayohayo wakati anamshinda raila Odinga.

 
Back
Top Bottom