Hotuba ya Freeman Mbowe kuwaunga mkono Luhaga Mpina, na Wafanyabiashara wa Kariakoo hii hapa

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Posts
34,188
Reaction score
62,952
Freeman Mbowe anadai serikali imeelemewa na madeni ndiyo maana kodi zimekuwa kubwa.

Kulingana na maelezo yake asilimia 51% ya bajeti ni kwa ajili ya kulipa mikopo ya serikali.

Kutokana na mzigo huo wa madeni serikali inalazimika kuwagandamiza wananchi kwa kodi.

..Freeman Mbowe anadai serikali imeelemewa na madeni ndiyo maana kodi zimekuwa kubwa.

..Kulingana na maelezo yake asilimia 51% ya bajeti ni kwa ajili ya kulipa mikopo ya serikali.

..Kutokana na mzigo huo wa madeni serikali inalazimika kuwagandamiza wananchi kwa kodi.

View: https://www.youtube.com/watch?v=5L6B1tFpDwU

Hivi huyu mchaga alishalipa madeni ya NSSF alipokopa pesa za wastaafu?
 
..hivi unajua serikali ya CCM imekopa kiasi gani ktk mifuko ya hifadhi ya jamii?

..mgogoro wa kikotoo chanzo chake ni madeni makubwa ya serikali ya CCM ktk mifuko ya hifadhi.

..lakini pia serikali ya CCM kutumia 51% ya bajeti kulipa madeni ndio chanzo cha kodi na tozo zinazokausha wananchi.
 
Wewe wachana na serikali, unafikiri kwanini hiyo mifuko ilianzishwa na serikali?
 
..hatuwezi kuachana na serikali ya CCM wakati wamekopa mpaka kukausha mifuko ya hifadhi ya jamii.

..nimekwambia huu mgogoro wa kikokotoo chanzo chake ni mikopo ya serikali iliyosababisha mifuko ya hifadhi kuwa na hali mbaya kifedha.
 
Hahah
 
Wewe staafu uone kama hautalipwa, tena sasa wanakuja na mfumo wa Ulaya.

Cheza na mama Samia wewe?
 
Wananchi wamegota kwenye kausha damu,
Serikali nayo inapitia mule mule kwenye kausha damu…
Humu ndani tukisema mikopo ni hatari Kwa usalama wa nchi na watu wake - watetezi wanajitokeza na kusema, ni lazima tukoke, tunakopesheka.
Ukiwauliza hiyo mikopo mutailipa lini, wanasema baada ya miaka 40…
Kwa takwimu zilizopo, life expectancy ya mtanzania ni miaka Kati ya 40-66… sasa tujiulize - je watoto wetu watakubali kulipa deni la wazazi wao ?
Kama jibu ni hapana, Kwa nini tuendelee kuwafanyia matatizo watoto wetu na hii mikopo ya Kila siku- jumatatu hadi Alhamisi - Kwa mujibu wa Mbowe?
 
Back
Top Bottom