peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Kuna saa unaandikaga pumb...Hivi huyu mchaga alishalipa madeni ya NSSF alipokopa pesa za wastaafu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna saa unaandikaga pumb...Hivi huyu mchaga alishalipa madeni ya NSSF alipokopa pesa za wastaafu?
We ulitegemea Mbowe na CHADEMA wataitetea serikali ?Freeman Mbowe anadai serikali imeelemewa na madeni ndiyo maana kodi zimekuwa kubwa.
Kulingana na maelezo yake asilimia 51% ya bajeti ni kwa ajili ya kulipa mikopo ya serikali.
Kutokana na mzigo huo wa madeni serikali inalazimika kuwagandamiza wananchi kwa kodi.
Hivi huyu mchaga alishalipa madeni ya NSSF alipokopa pesa za wastaafu?
Kuna saa unaandikaga pumb...
Kaongea mambo mazuri, mazito yanayomgusa mwananchi, tatizo ni utapeli wake. Hatuna hakika kama wakipewa wao kuongoza hali haitakuwa mbaya zaidi kuliko ilvyo sasa.Hivi huyu mchaga alishalipa madeni ya NSSF alipokopa pesa za wastaafu?
Mwamba kama MwambaFreeman Mbowe anadai serikali imeelemewa na madeni ndiyo maana kodi zimekuwa kubwa.
Kulingana na maelezo yake asilimia 51% ya bajeti ni kwa ajili ya kulipa mikopo ya serikali.
Kutokana na mzigo huo wa madeni serikali inalazimika kuwagandamiza wananchi kwa kodi.
Ulaya si ndiyo MABEBERU tunaowapiga vita. !!!Unataka kufananisha mfumo wa wastaafu wa Tanzania na wa Ulaya?
Umeishi nchi ipi ya magharibi?
Wazee wa matukio kazini. Ccm ikikaa kimya na wao wanakaa kimya mana hakuna cha kuongeaFreeman Mbowe anadai serikali imeelemewa na madeni ndiyo maana kodi zimekuwa kubwa.
Kulingana na maelezo yake asilimia 51% ya bajeti ni kwa ajili ya kulipa mikopo ya serikali.
Kutokana na mzigo huo wa madeni serikali inalazimika kuwagandamiza wananchi kwa kodi.
Ile clip ya kwanza labda aliicut kabla lakini sasa nimeiona🙏🏼Kataja jina Mpina
Ni kweli yake Mbowe kamtaja Luhaga Mpina lakini Clip ya jana usiku ilikuwa imekatwa kabla ya Mwamba kumuongelea Mpina leo iko fulu nimeiona.Mleta mada sijui kalisikia wapi
Tutaruhusu Biashara HURIA Viwanda vya ndani vifanye Biashara ya Ushindani hakuna kubweteka tutahakikisha Sukari inajaa Nchini.Wao CHADEMA wana mbadala ga
Kiuhalisia Tanzania na nchi nyingi za kiafrika zimekuwa zikifanya Biashara "Huria" enzi kwa enzi.Tutaruhusu Biashara HURIA Viwanda vya ndani vifanye Biashara ya Ushindani hakuna kubweteka tutahakikisha Sukari inajaa Nchini.
Utakuwa hujawahi kufanya Biashara katika Nchi hii ninyi Watumishi wa Umma hamuwezi kuelewa mateso ya Kodi.Kiuhalisia Tanzania na nchi nyingi za kiafrika zimekuwa zikifanya Biashara "Huria" enzi kwa enzi.
Kusema kwamba Tanzania ama Afrika hakuna Biashara huria, ni kupotosha umma. Maana ya informal economy ni nini kwa mapana kama sio Biashara Huria? Haijalishi hapa-that aside
Wakati Serikali makini ilikaa na kusema bado tunahitaji kuboresha bidhaa zetu, iilituwe na uwezo wa kukabiliana na bidhaa feki na Cheap kutoka nje-ikiwa na maana nguvu za ujasiriliamali zipewe Mtanzania. Mkalia nchi inafungwa!
Sema CHADEMA hamna sera yeyote ile wala haina mbadala wa kukuza, kupanua n.k wigo la kodi kwa ajili ya Mapato ya Taifa.
Unakwepa hoja zako mwenyewe. Rejea ulichokisema na majibu niliyotoa.Utakuwa hujawahi kufanya Biashara katika Nchi hii
Sio kweli. Biashara nyingi za wachuuzi ni za watumishi wa umma, na zilianza na "Ruksa" Makontena karibia yote nyakati za nyuma zilikuwa za Watumishi wa umma, hata hizi bodaboda tunazoona leo hii ukifuatilia kwa umakini, zilianza na wafanyakazi wa umma-kwa hivyo sio kweli kwamba mateso ya kodi haiwagusi.ninyi Watumishi wa Umma hamuwezi kuelewa mateso ya Kodi.
Sawa. Nyie CHADEMA mna sera zipi. What are your alternatives?Au hata agiza Mkweche kutoka Japan uone Kodi yake ni zaidi ya hela za manunuzi +Shipping.
mpina wamchukue tu hana faida kwa ccm aje wampe nafasi ya kugombea u rais atwafaaFreeman Mbowe anadai serikali imeelemewa na madeni ndiyo maana kodi zimekuwa kubwa.
Kulingana na maelezo yake asilimia 51% ya bajeti ni kwa ajili ya kulipa mikopo ya serikali.
Kutokana na mzigo huo wa madeni serikali inalazimika kuwagandamiza wananchi kwa kodi.
Kenya wameonyesha hasira zao, sisi vipi?..sikiliza vizuri mwanzoni mwa hotuba amemtaja Mpina.