Hotuba ya Freeman Mbowe kuwaunga mkono Luhaga Mpina, na Wafanyabiashara wa Kariakoo hii hapa

Hotuba ya Freeman Mbowe kuwaunga mkono Luhaga Mpina, na Wafanyabiashara wa Kariakoo hii hapa

Kwakuwa kinaungwa mkono na wenye akili finyu ambao ndio wengi na wewe ukiwa ni mmoja wao.
Chakushangaza, wenye akili finyu wanakutawala unaetamba kuwa huna akili finyu. Tukuweke kwenye kundi la akili zipi?

Mie nadhani poyoyo, maana anaetawaliwa na mwenye akili finyu na yeye anajuwa, huyo atakuwa ni poyoyo tu, hakuna zaidi.
 
Chakushangaa, wenye akili finyu wanakutawala unaetamba kuwa huna akili finyu. Tukuweke kwenye kundi la akili zipi?

Mie nadhani poyoyo, maana anaetawaliwa na mwenye akili finyu na yeye anajuwa, huyo atakuwa ni poyoyo tu, hakuna zaidi.
Nakuletea tena sehemu ndogo yenye ujumbe wenyewe usome.
"KWAKUWA KINAUNGWA MKONO NA WENYE AKILI FINYU AMBAO NDIO WENGI NA WEWE NI MIONGONI MWAO" Zingatia neno WENGI.
 
Back
Top Bottom