Hotuba ya Freeman Mbowe kuwaunga mkono Luhaga Mpina, na Wafanyabiashara wa Kariakoo hii hapa

Hotuba ya Freeman Mbowe kuwaunga mkono Luhaga Mpina, na Wafanyabiashara wa Kariakoo hii hapa

Sawa. Nyie CHADEMA mna sera zipi. What are your alternatives?
Kodi ni nyingi tutazipunguza tutafanya Mwananchi awe analipa kwa hiari bila bugudha HATUTICHEZEA KODI ZAO kwa Mambo ya Kipuuzi na MIRADI ya KIPUUZI tutapunguza VAT.
 
We ulitegemea Mbowe na CHADEMA wataitetea serikali ?
Hao principle yao ni lazima waend against na serikali, hata kama serikali inafanya jamb gan zur lazima wao waene against.

..Na Ccm na Serikali lazima waipinge CDM hata kama wanasema ukweli au wanapendekeza jambo jema kwa nchi yetu.
 
Wazee wa matukio kazini. Ccm ikikaa kimya na wao wanakaa kimya mana hakuna cha kuongea
..nyani haoni kundule.

..wazee wa matukio kazini, Cdm wakikaa kimya na wao wanakaa kimya maana hakuna cha kuongea.
 
Chadema hawana jema kila wanacho ongea ni kuhus fujo tupu

..hizo ni kauli za visingizio za Ccm wanaposhindwa kujibu hoja, na kutoa suluhu kwa matatizo ya wananchi.

..Chadema hawajawahi kufanya vurugu mahala popote nchini. Hata majuzi walikuwa na maandamano mikoa mbalimbali na hakuna aliyeumizwa.
 
Hivi huyu mchaga alishalipa madeni ya NSSF alipokopa pesa za wastaafu?
Mwenye makosa ni mkopeshaji na ndiye anapaswa kutuambia hapa.
Kufanikiwa kwa huyo jamaa kukopa kiasi cha serikali kushindwa kuwalipa wastaafu ni UDHAHIFU WA SERIKALI NA KUULIZA KWAKO HAPA KUNAZIDI KUIVUA NGUO SERIKALI YA ccm.
 
Mwenye makosa ni mkopeshaji na ndiye anapaswa kutuambia hapa.
Kufanikiwa kwa huyo jamaa kukopa kiasi cha serikali kushindwa kuwalipa wastaafu ni UDHAHIFU WA SERIKALI NA KUULIZA KWAKO HAPA KUNAZIDI KUIVUA NGUO SERIKALI YA ccm.
Sijauliza nani mwenye makosa au asiye na makosa, hiyo siyo kazi yangu.

Rudi tena juu ukanisome nilichouliza.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Sijauliza nani mwenye makosa au asiye na makosa, hiyo siyo kazi yangu.

Rudi tena juu ukanisome nilichouliza.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Upumbavu wa wasimamizi wa serikali ndio mwanya alio/anao utumia hivyohivyo hata na mikataba mikubwa.

Hiyo shule uliyosoma ingekunufaisha kimaarifa usingelileta hoja ya kipuuzi ya namna hiyo hapa kwani ni UMBEA.
 
..hivi unajua serikali ya CCM imekopa kiasi gani ktk mifuko ya hifadhi ya jamii?

..mgogoro wa kikotoo chanzo chake ni madeni makubwa ya serikali ya CCM ktk mifuko ya hifadhi.

..lakini pia serikali ya CCM kutumia 51% ya bajeti kulipa madeni ndio chanzo cha kodi na tozo zinazokausha wananchi.
Na Kazi na Bata inaendelea kama kawaida 😳😱🙄
 
Back
Top Bottom