imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Kodi ni nyingi tutazipunguza tutafanya Mwananchi awe analipa kwa hiari bila bugudha HATUTICHEZEA KODI ZAO kwa Mambo ya Kipuuzi na MIRADI ya KIPUUZI tutapunguza VAT.Sawa. Nyie CHADEMA mna sera zipi. What are your alternatives?