Mbona sioni alipomtaja Luhaga Mpina?!
Nimerudia kuitazama likini bado sijasikia Mwamba akimtaja Mpina...sikiliza vizuri mwanzoni mwa hotuba amemtaja Mpina.
Kataja jina MpinaNimerudia kuitazama likini bado sijasikia Mwamba akimtaja Mpina.
Hivi huyu mchaga alishalipa madeni ya NSSF alipokopa pesa za wastaafu?..Freeman Mbowe anadai serikali imeelemewa na madeni ndiyo maana kodi zimekuwa kubwa.
..Kulingana na maelezo yake asilimia 51% ya bajeti ni kwa ajili ya kulipa mikopo ya serikali.
..Kutokana na mzigo huo wa madeni serikali inalazimika kuwagandamiza wananchi kwa kodi.
View: https://www.youtube.com/watch?v=5L6B1tFpDwU
Hivi huyu mchaga alishalipa madeni ya NSSF alipokopa pesa za wastaafu?
Wewe wachana na serikali, unafikiri kwanini hiyo mifuko ilianzishwa na serikali?..hivi unajua serikali ya CCM imekopa kiasi gani ktk mifuko ya hifadhi ya jamii?
..mgogoro wa kikotoo chanzo chake ni madeni makubwa ya serikali ya CCM ktk mifuko ya hifadhi.
..lakini pia serikali ya CCM kutumia 51% ya bajeti kulipa madeni ndio chanzo cha kodi na tozo zinazokausha wananchi.
Ili Serikali ikishindwa maisha ije kukopa kwa wananchi wakeWewe wachana na serikali, unafikiri kwanini hiyo mifuko ilianzishwa na serikali?
Wewe wachana na serikali, unafikiri kwanini hiyo mifuko ilianzishwa na serikali?
Obvious itakuwa hivyo..Freeman Mbowe anadai serikali imeelemewa na madeni ndiyo maana kodi zimekuwa kubwa.
..Kulingana na maelezo yake asilimia 51% ya bajeti ni kwa ajili ya kulipa mikopo ya serikali.
..Kutokana na mzigo huo wa madeni serikali inalazimika kuwagandamiza wananchi kwa kodi.
View: https://www.youtube.com/watch?v=5L6B1tFpDwU
Hahah..hatuwezi kuachana na serikali ya CCM wakati wamekopa mpaka kukausha mifuko ya hifadhi ya jamii.
..nimekwambia huu mgogoro wa kikokotoo chanzo chake ni mikopo ya serikali iliyosababisha mifuko ya hifadhi kuwa na hali mbaya kifedha.
Mleta mada sijui kalisikia wapiNimerudia kuitazama likini bado sijasikia Mwamba akimtaja Mpina.
Kataja jina Mpina
Wewe staafu uone kama hautalipwa, tena sasa wanakuja na mfumo wa Ulaya...hatuwezi kuachana na serikali ya CCM wakati wamekopa mpaka kukausha mifuko ya hifadhi ya jamii.
..nimekwambia huu mgogoro wa kikokotoo chanzo chake ni mikopo ya serikali iliyosababisha mifuko ya hifadhi kuwa na hali mbaya kifedha.
Kwan Kila mfumo wa ulaya ni mzuri? Na unafaa Afrika?Wewe staafu uone kama hautalipwa, tena sasa wanakuja na mfumo wa Ulaya.
Cheza na mama Samia wewe?
Kwani huo "mfumo wa ulaya" upoje?Kwan Kila mfumo wa ulaya ni mzuri? Na unafaa Afrika?
Unataka kufananisha mfumo wa wastaafu wa Tanzania na wa Ulaya?Kwan Kila mfumo wa ulaya ni mzuri? Na unafaa Afrika?