M Mnafiki Wa Kujitegemea JF-Expert Member Joined Dec 30, 2022 Posts 3,751 Reaction score 6,337 Jun 27, 2024 #61 FaizaFoxy said: Nakushangaa wewe usiye mpumbavu unahaha mitandaoni badala ya kuwa msimamizi wa serikalini. Click to expand... Serikali simamia wewe usiyekuwa na miguu.
FaizaFoxy said: Nakushangaa wewe usiye mpumbavu unahaha mitandaoni badala ya kuwa msimamizi wa serikalini. Click to expand... Serikali simamia wewe usiyekuwa na miguu.
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,246 Reaction score 123,145 Jun 27, 2024 #62 Mnafiki Wa Kujitegemea said: Serikali simamia wewe usiyekuwa na miguu. Click to expand... Usiwe na shaka, CCM ndiyo chama tawala.
Mnafiki Wa Kujitegemea said: Serikali simamia wewe usiyekuwa na miguu. Click to expand... Usiwe na shaka, CCM ndiyo chama tawala.
M Mnafiki Wa Kujitegemea JF-Expert Member Joined Dec 30, 2022 Posts 3,751 Reaction score 6,337 Jun 27, 2024 #63 FaizaFoxy said: Usiwe na shaka, CCM ndiyo chama tawala. Click to expand... Kwakuwa kinaungwa mkono na wenye akili finyu ambao ndio wengi na wewe ukiwa ni mmoja wao.
FaizaFoxy said: Usiwe na shaka, CCM ndiyo chama tawala. Click to expand... Kwakuwa kinaungwa mkono na wenye akili finyu ambao ndio wengi na wewe ukiwa ni mmoja wao.
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,246 Reaction score 123,145 Jun 27, 2024 #64 Mnafiki Wa Kujitegemea said: Kwakuwa kinaungwa mkono na wenye akili finyu ambao ndio wengi na wewe ukiwa ni mmoja wao. Click to expand... Chakushangaza, wenye akili finyu wanakutawala unaetamba kuwa huna akili finyu. Tukuweke kwenye kundi la akili zipi? Mie nadhani poyoyo, maana anaetawaliwa na mwenye akili finyu na yeye anajuwa, huyo atakuwa ni poyoyo tu, hakuna zaidi.
Mnafiki Wa Kujitegemea said: Kwakuwa kinaungwa mkono na wenye akili finyu ambao ndio wengi na wewe ukiwa ni mmoja wao. Click to expand... Chakushangaza, wenye akili finyu wanakutawala unaetamba kuwa huna akili finyu. Tukuweke kwenye kundi la akili zipi? Mie nadhani poyoyo, maana anaetawaliwa na mwenye akili finyu na yeye anajuwa, huyo atakuwa ni poyoyo tu, hakuna zaidi.
M Mnafiki Wa Kujitegemea JF-Expert Member Joined Dec 30, 2022 Posts 3,751 Reaction score 6,337 Jun 27, 2024 #65 FaizaFoxy said: Chakushangaa, wenye akili finyu wanakutawala unaetamba kuwa huna akili finyu. Tukuweke kwenye kundi la akili zipi? Mie nadhani poyoyo, maana anaetawaliwa na mwenye akili finyu na yeye anajuwa, huyo atakuwa ni poyoyo tu, hakuna zaidi. Click to expand... Nakuletea tena sehemu ndogo yenye ujumbe wenyewe usome. "KWAKUWA KINAUNGWA MKONO NA WENYE AKILI FINYU AMBAO NDIO WENGI NA WEWE NI MIONGONI MWAO" Zingatia neno WENGI.
FaizaFoxy said: Chakushangaa, wenye akili finyu wanakutawala unaetamba kuwa huna akili finyu. Tukuweke kwenye kundi la akili zipi? Mie nadhani poyoyo, maana anaetawaliwa na mwenye akili finyu na yeye anajuwa, huyo atakuwa ni poyoyo tu, hakuna zaidi. Click to expand... Nakuletea tena sehemu ndogo yenye ujumbe wenyewe usome. "KWAKUWA KINAUNGWA MKONO NA WENYE AKILI FINYU AMBAO NDIO WENGI NA WEWE NI MIONGONI MWAO" Zingatia neno WENGI.