Hotuba ya Heche Leo: Mwenye full hotuba atuwekee hapa

Hotuba ya Heche Leo: Mwenye full hotuba atuwekee hapa

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Please mwenye hotuba / press Conference ya leo aniwekee hapa.
 
15 April 2026
Makao Makuu ya CHADEMA
Dar es Salaam, Tanzania

HECHE : CHADEMA KAMA ANC YA NELSON MANDELA
John Heche makamu menyekiti wa CHADEMA amezungumza haya leo Aprili 15, 2026, baada ya Mahakama ya Rufaa Tanzania kuondoa zuio la chama hicho kufanya shughuli za kisiasa iliyotolewa mwaka jana na jaji wa mahakama kuu Hamidu Mwanga

View: https://m.youtube.com/watch?v=Ffrt_bjpd4g

Shangwe zarindima makao makuu ya chama kikubwa cha siasa nchini Tanzania, baada ya viongozi wakuu na makada wa CHADEMA kwa mara ya kwanza kuweza kutumia ofisi zao tangu zifungiwe kurumika toka mwezi June 2025 kufuatia katazo la Mahakama ya chini yaani Mahakama Kuu ya Tanzania baada ya jaji wa mahakama hiyo ya chini Jaji Hamidu Mwanga kutoa katazo tata lililitumika vibaya na vyombo vya serikali isiyotambuliwa
 
Apr 15 2026
Makao Makuu ya CHADEMA
Dar es Salaam, Tanzania

KAMATI KUU YA CHADEMA KUKUTANA 28 APRIL 2026
Katibu mkuu wa CHADEMA, John Mnyika leo Aprili 15, 2026, akizungumza na waandishi wa habari baada ya CHADEMA kuruhusiwa na mahakama ya juu kabisa Mahakama ya Rufaa Tanzania kufanya shughuli zake hivyo kutengua zuio la awali la Mahakama ya chini mahakama kuu ya Tanzania lililotolewa na jaji Hamidu Mwanga


View: https://m.youtube.com/watch?v=R4X1TdINF1Q
 
Back
Top Bottom