Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Kwa kifupi hawa Waheshimiwa wameshaona hii issue haiko rafiki kwao, wanapoteza pambano mapema! Kwa hiyo wamekubaliana kuwa "waingilie" Uhuru wa Mahakama kwa ku-pre-empty public. Bahati mbaya sana kwa nature ya Mahakama zetu, haziwezi kujisimamia wenyewe.
Kwahio tutegemee hukumu yenye mwelekeo ule ule wa Sirro na SSH hata hivyo napenda kuweka angalizo mapema, huu ndio utakua mwisho wa upinzani halali!
Watu watajenga chuki zaidi, huenda mambo makubwa yakaibuka in recent days.