Hotuba ya IGP Sirro na mahojiano ya Rais Samia yanaingilia mhimili wa Mahakama?

Hotuba ya IGP Sirro na mahojiano ya Rais Samia yanaingilia mhimili wa Mahakama?

kwa mbali huu ndio mpango wao, watu wachafuane, katiba ya warioba irudi, mambo yaendelee kwa kigezo cha maridhiano
Ngoja tuone time frame ya kufanya haya yote ni kiasi gani, maana 2025 huko Lumumba moto utawaka.
 
Ndiyo maswali ambayo Kikeke alitakiwa kuuliza na siyo kuishia kupiga picha jengo la Ikulu
Kikeke ni Mpuuzi tu wala sio Journalist yeye ni Mtangazaji tu, na kwakua alikua anajua yeye ndio atateuliwa ukurugenzi wa Mawasiliano Ikulu na hakupata kwahiyo bado anandoto za kuwa na cheo. Zuhra Yunus ndio namkubali sana alikua anampiga sana MEKO mpaka ikatolewa amri asipewe tena platform ya kuhojiana naye, anajielewa sana yule Mama sio Kikeke
 
Kwa mtu ambaye hakumuelewa Rais Samia, huyo ana matatizo kwelikweli.

1. Issue ya Mbowe kaweka bayana mahakama itathibitishia dunia kama ana kosa au hana. Na yeye asingependa kulizungumzia sana liko mahakamani. Kaeleza kesi ni ya tangu Septemba, 2020 ila upelelezi ulikuwa bado. Tunasahau jinai haina ukomo. Nadhani tuiache mahakama.

2. Uhuru wa Habari. Upo kauliza kuna chombo kina lalamika? Uhuru wa kujieleza akasisitiza wacha watu wa offload yaliyomo moyoni, kuliko kuwazuia. Si ndiyo kama humu na ktk social media watu wanatapika. Tena akakiri maoni mengine ya mitandaoni na vyombo vya Habari anayafanyia kazi na kuyachukua. Rais msikivu hugo.

3. Kukutana na wapinzani hata kutaka kuwaingiza serikalini. Anataka akutane nao wakiwa wamoja awape focus yake.

4. Tanzania na siasa za Kimataifa.

5. Diaspora.

6. Chanjo ya covid.

7. Tozo.

Kwa kifupi Rais amezungumza mambo kama 10 tena kwa ufasaha kabisa. Nadhani ufike wakati Watanzania tufikirie kwa mtazamo wa kujenga Taifa letu zaidi. Natambua wanaopiga kelele na kujaribu kuonyesha dosari ktk mahojiano ni wale ambao walitegemea Rais aseme kesi ya Mbowe itafutwa ila watu makini wanaelewa Rais alichozungumza. Issue ya Mbowe Rais ameiweka ktk proper perspective.
 
Nadhani hii karata imechezwa makusudi kabisa na mama, ikiwa na lengo la kuleta machafuko ya kisiasa. Baada ya hapo Tanganyika itapata uhuru wake kamili na Zanzibar itapata uhuru wake kamili. Focus ya SSH ni kuvunja huu muungano nadhani.
Kuna ka logic fulani lkn kako kwa mbali sana kukaona hadi darubini.
 
Kikeke ni Mpuuzi tu wala sio Journalist yeye ni Mtangazaji tu, na kwakua alikua anajua yeye ndio atateuliwa ukurugenzi wa Mawasiliano Ikulu na hakupata kwahiyo bado anandoto za kuwa na cheo. Zuhra Yunus ndio namkubali sana alikua anampiga sana MEKO mpaka ikatolewa amri asipewe tena platform ya kuhojiana naye, anajielewa sana yule Mama sio Kikeke
Kikeke ni km alikuwa msikilizajii tu hakuwa na maswali yale yakiandishi... Yani ni km wewe uwende kwa bibi uwe unasikiliza hadisi za zamani kutoka kwa bibi huku ukiwa unamuogopa bibi kuuliza swali kupitia iyo hadithi wakati unaona kabisa story ina uwongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikeke ni Mpuuzi tu wala sio Journalist yeye ni Mtangazaji tu, na kwakua alikua anajua yeye ndio atateuliwa ukurugenzi wa Mawasiliano Ikulu na hakupata kwahiyo bado anandoto za kuwa na cheo. Zuhra Yunus ndio namkubali sana alikua anampiga sana MEKO mpaka ikatolewa amri asipewe tena platform ya kuhojiana naye, anajielewa sana yule Mama sio Kikeke
Kikeke ni mswahili wa Tanga hanachojua
 
Kwa kifupi hawa Waheshimiwa wameshaona hii issue haiko rafiki kwao, wanapoteza pambano mapema! Kwa hiyo wamekubaliana kuwa "waingilie" Uhuru wa Mahakama kwa ku-pre-empty public. Bahati mbaya sana kwa nature ya Mahakama zetu, haziwezi kujisimamia wenyewe.

Kwahio tutegemee hukumu yenye mwelekeo ule ule wa Sirro na SSH hata hivyo napenda kuweka angalizo mapema, huu ndio utakua mwisho wa upinzani halali!

Watu watajenga chuki zaidi, huenda mambo makubwa yakaibuka in recent days.
Jikiteni katika kupangua kesi badala ya kutafuta huruma
 
Hakuna wa kutafuta huruma wewe
Ukilia kwamba Rais kaingilia mahakama nani atakusikiliza?
Tofautisha kati ya kuzungumzia kesi na kuingilia mahakama
Wakati sabaya anafikishwa mahakamani mlipendekeza mpaka hukumu na kusema mama anaupiga mwingi
 
Dogo acha bbange za asubuhi, eti tofautisha! Yaani CCM mnajifanya MNA akili kuliko Watu wote. Pathetic
 
Katiba mpya inawatesa ndiyo maana wanajificha kwenye ugaidi. takataka kabisa
Ukweli ni kwamba Chadema ilishakuwa na nguvu sana. Hivyo kuitendea haki Chadema itarahisisha CCM kutoka madarakani.

Pia kuruhusu uwepo wa Katiba mpya kutafanya Chadema ichukue dola kirahisi na pia kutafanya Muungano wa Tanganyika na Zenji kuvunjika au kuwa wa staili nyingine. Hii ndio sababu CCM haitaki hivi vitu vitokee.
 
Well said
 
Rais amezungumza vizuri kweli tena kwa uwazi ulio uwazi kwamba shauri hili sio la leo lilikuwepo na bw yule yule alikuwa analifahamu fika na baadhi ya wahusika wa jambo hili walikuwepo rumande kwa muda mrefu tu kabla bwana yule hajakamatwa isipokuwa bw yule ni intelligent wa kutisha sana ana akili nyingi sana akaona atafanyaje suala hile alipe mlango au mwonekano mwingine wa ki umma zaidi akaingilia kwa kasi ya katiba mpya bahati mbaya kondoo wake hawajui haya au intelegency aliyonayo kiongozi wao katika kuwatumia vyema koondoo wake,

''Rais amesaema mahakama itatupa majawabu sahihi baada ya mahakimu na wanasheria wa pande zote mbili kukabiliana kwa kina na kuja na jawabu moja tuvute subraaaaa
Unajua nini kitatokea?

utasikia mahakama imetupilia mbali shauri hili la ugaidi!

Kesi kubwa sio ugaidi, ni namna ya kuhamisha upinzani wa chanjo kwa kumkamata mbowe.
 
Back
Top Bottom