Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Bora ya dikteta mkuu kuliko huyu shetaniSamia kaniuzi sana.. Sikutegemea anaweza kucheza chini ya kiwango hivyo.
Urais mtamu asikwambie MTU, simlaumu yeye kamweSamia kaniuzi sana.. Sikutegemea anaweza kucheza chini ya kiwango hivyo.
Mambosasa kwa sasa yuko pande zipiWanaouliza kwa nini Mbowe amekamatwa sasa na si vinginevyo wanasahau kuwa Mbowe, Lema, Meya wa zamani Ubungo Boniface walikamatwa mara baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu kutangazwa na kabla Rais hajaapishwa kwa kuchochea maandamano yasiyo na kikomo kupinga matokeo. Mambosasa alihojiwa na vituo vya ITV na TBC na kutoa madai hayo hayo ya ugaidi.
Wanaouliza kwa nini Mbowe amekamatwa sasa na si vinginevyo wanasahau kuwa Mbowe, Lema, Meya wa zamani Ubungo Boniface walikamatwa mara baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu kutangazwa na kabla Rais hajaapishwa kwa kuchochea maandamano yasiyo na kikomo kupinga matokeo. Mambosasa alihojiwa na vituo vya ITV na TBC na kutoa madai hayo hayo ya ugaidi.
Freeman aliruhusiwa na RCO Kinondoni kusafiri. Hata uhamiaji Namanga walimruhusu kuvuka baada ya kuthibitisha ruhusa ile, alionekana na Godbless Lema, Nairobi. SAMIA wasaidizi wake hawamuelezi ukweli. Leo wanasema alitoroka. Maneno ya msemaji wa polisi, IGP & Rais yamefanana, WHY?Wanaouliza kwa nini Mbowe amekamatwa sasa na si vinginevyo wanasahau kuwa Mbowe, Lema, Meya wa zamani Ubungo Boniface walikamatwa mara baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu kutangazwa na kabla Rais hajaapishwa kwa kuchochea maandamano yasiyo na kikomo kupinga matokeo. Mambosasa alihojiwa na vituo vya ITV na TBC na kutoa madai hayo hayo ya ugaidi.
Unachekesha sanaWanaouliza kwa nini Mbowe amekamatwa sasa na si vinginevyo wanasahau kuwa Mbowe, Lema, Meya wa zamani Ubungo Boniface walikamatwa mara baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu kutangazwa na kabla Rais hajaapishwa kwa kuchochea maandamano yasiyo na kikomo kupinga matokeo. Mambosasa alihojiwa na vituo vya ITV na TBC na kutoa madai hayo hayo ya ugaidi.
Kama ni maandamano ya watu kupinga ujinga unaoendelea nchini hasa kwa Mweshimiwa Mbowe then perish the thought dude wabongo wakishatishiwa jeshi tu mchezo umeisha.Kwa kifupi hawa Waheshi-miwa wameshaona hii issue haiko rafiki kwao, wanapoteza pambano mapema! Kwahio wamekubaliana kuwa "waingilie" Uhuru wa Mahakama kwa ku-pre-empty public. Bahati mbaya sana kwa nature ya Mahakama zetu, haziwezi kujisimamia wenyewe.
Kwahio tutegemee hukumu yenye mwelekeo ule ule wa Siro na SSH hata hivyo napenda kuweka ANGALIZO mapema, huu ndio utakua mwisho wa upinzani halali!
Watu watajenga chuki zaidi, huenda mambo makubwa yakaibuka in recent days.
Maandamano? Hapana eenzi za maandamano mbona zilishapita? Ukisema wabongo, wewe kwani sio mbongo?Kama ni maandamano ya watu kupinga ujinga unaoendelea nchini hasa kwa Mweshimiwa Mbowe then perish the thought dude wabongo wakishatishiwa jeshi tu mchezo umeisha.
Wapuuzi ni wale ambao wanaona mazuri ya kiongozi pale anapokuwa hayupo madarakani.Samia kaniuzi sana.. Sikutegemea anaweza kucheza chini ya kiwango hivyo.
Bora dikteta Magufuli alijenga miundombinu. Dikteta Samia hatofanya chochote zaidi ya upuuzi.
kwa mbali huu ndio mpango wao, watu wachafuane, katiba ya warioba irudi, mambo yaendelee kwa kigezo cha maridhianoNadhani hii karata imechezwa makusudi kabisa na mama, ikiwa na lengo la kuleta machafuko ya kisiasa. Baada ya hapo Tanganyika itapata uhuru wake kamili na Zanzibar itapata uhuru wake kamili. Focus ya SSH ni kuvunja huu muungano nadhani.
Uvunjwe tu huo muungano wa lazima hatuutaki arudi kwao Zanzibar akatawaleNadhani hii karata imechezwa makusudi kabisa na mama, ikiwa na lengo la kuleta machafuko ya kisiasa. Baada ya hapo Tanganyika itapata uhuru wake kamili na Zanzibar itapata uhuru wake kamili. Focus ya SSH ni kuvunja huu muungano nadhani.
Ndiyo maswali ambayo Kikeke alitakiwa kuuliza na siyo kuishia kupiga picha jengo la IkuluOnly in Tanzania , yaani mtu vibali vya safari mnampa wenyewe halafu mnasema alitoroka , sasa kama alitoroka alivyomaliza mikutano na kurudi mbona hamkumkamata kwakua alitoroka, kwa nijuavyo mtu akikatazwa kutoka nje ya nchi hata pasport inakuwa mikononi mwa serikali sasa kama alisafiri alitumia pasport ipi kama kitambulisho, maana Viza hakuna huko kenya, na by the way hata huko alikoenda Dubai etc lazima alitumia pasport, wajinga ni wengi sana nchi hii including huyo mama, naanza kuelewa ni kwanini hata kina Mwigulu wanamwendesha kama wanavyotaka, prove me wrong huyu atakuja kuwa even worse kuliko MEKO! Take it