Ngoja tuone time frame ya kufanya haya yote ni kiasi gani, maana 2025 huko Lumumba moto utawaka.kwa mbali huu ndio mpango wao, watu wachafuane, katiba ya warioba irudi, mambo yaendelee kwa kigezo cha maridhiano
Swadakta, mama keshajua huu muungano kuvunjika kwa amani ni ndoto, ndio maana anakuja kwa njia hizi.Uvunjwe tu huo muungano wa lazima hatuutaki arudi kwao Zanzibar akatawale
Kikeke ni Mpuuzi tu wala sio Journalist yeye ni Mtangazaji tu, na kwakua alikua anajua yeye ndio atateuliwa ukurugenzi wa Mawasiliano Ikulu na hakupata kwahiyo bado anandoto za kuwa na cheo. Zuhra Yunus ndio namkubali sana alikua anampiga sana MEKO mpaka ikatolewa amri asipewe tena platform ya kuhojiana naye, anajielewa sana yule Mama sio KikekeNdiyo maswali ambayo Kikeke alitakiwa kuuliza na siyo kuishia kupiga picha jengo la Ikulu
Kila kitu ni muda tuu.mlimbeza sana magufuli.alipokufa mkanywa na pombe kujipongeza.mtapata tabu sana.mama anaupiga mwingi.na kazi iendelee.sukuma gang IPO juuuBora ya dikteta mkuu kuliko huyu shetani
Kuna ka logic fulani lkn kako kwa mbali sana kukaona hadi darubini.Nadhani hii karata imechezwa makusudi kabisa na mama, ikiwa na lengo la kuleta machafuko ya kisiasa. Baada ya hapo Tanganyika itapata uhuru wake kamili na Zanzibar itapata uhuru wake kamili. Focus ya SSH ni kuvunja huu muungano nadhani.
Kikeke ni km alikuwa msikilizajii tu hakuwa na maswali yale yakiandishi... Yani ni km wewe uwende kwa bibi uwe unasikiliza hadisi za zamani kutoka kwa bibi huku ukiwa unamuogopa bibi kuuliza swali kupitia iyo hadithi wakati unaona kabisa story ina uwongoKikeke ni Mpuuzi tu wala sio Journalist yeye ni Mtangazaji tu, na kwakua alikua anajua yeye ndio atateuliwa ukurugenzi wa Mawasiliano Ikulu na hakupata kwahiyo bado anandoto za kuwa na cheo. Zuhra Yunus ndio namkubali sana alikua anampiga sana MEKO mpaka ikatolewa amri asipewe tena platform ya kuhojiana naye, anajielewa sana yule Mama sio Kikeke
Lakini si wote tunapata shida?Kila kitu ni muda tuu.mlimbeza sana magufuli.alipokufa mkanywa na pombe kujipongeza.mtapata tabu sana.mama anaupiga mwingi.na kazi iendelee.sukuma gang IPO juuu
Kikeke ni mswahili wa Tanga hanachojuaKikeke ni Mpuuzi tu wala sio Journalist yeye ni Mtangazaji tu, na kwakua alikua anajua yeye ndio atateuliwa ukurugenzi wa Mawasiliano Ikulu na hakupata kwahiyo bado anandoto za kuwa na cheo. Zuhra Yunus ndio namkubali sana alikua anampiga sana MEKO mpaka ikatolewa amri asipewe tena platform ya kuhojiana naye, anajielewa sana yule Mama sio Kikeke
Jikiteni katika kupangua kesi badala ya kutafuta hurumaKwa kifupi hawa Waheshimiwa wameshaona hii issue haiko rafiki kwao, wanapoteza pambano mapema! Kwa hiyo wamekubaliana kuwa "waingilie" Uhuru wa Mahakama kwa ku-pre-empty public. Bahati mbaya sana kwa nature ya Mahakama zetu, haziwezi kujisimamia wenyewe.
Kwahio tutegemee hukumu yenye mwelekeo ule ule wa Sirro na SSH hata hivyo napenda kuweka angalizo mapema, huu ndio utakua mwisho wa upinzani halali!
Watu watajenga chuki zaidi, huenda mambo makubwa yakaibuka in recent days.
Hakuna wa kutafuta huruma weweJikiteni katika kupangua kesi badala ya kutafuta huruma
Ukilia kwamba Rais kaingilia mahakama nani atakusikiliza?Hakuna wa kutafuta huruma wewe
Dogo acha bbange za asubuhi, eti tofautisha! Yaani CCM mnajifanya MNA akili kuliko Watu wote. PatheticUkilia kwamba Rais kaingilia mahakama nani atakusikiliza?
Tofautisha kati ya kuzungumzia kesi na kuingilia mahakama
Wakati sabaya anafikishwa mahakamani mlipendekeza mpaka hukumu na kusema mama anaupiga mwingi
Ukweli ni kwamba Chadema ilishakuwa na nguvu sana. Hivyo kuitendea haki Chadema itarahisisha CCM kutoka madarakani.Katiba mpya inawatesa ndiyo maana wanajificha kwenye ugaidi. takataka kabisa
Kikeke lipima majibu akabaini jambo...Ndiyo maswali ambayo Kikeke alitakiwa kuuliza na siyo kuishia kupiga picha jengo la Ikulu
Well saidUkweli ni kwamba Chadema ilishakuwa na nguvu sana. Hivyo kuitendea haki Chadema itarahisisha CCM kutoka madarakani.
Pia kuruhusu uwepo wa Katiba mpya kutafanya Chadema ichukue dola kirahisi na pia kutafanya Muungano wa Tanganyika na Zenji kuvunjika au kuwa wa staili nyingine. Hii ndio sababu CCM haitaki hivi vitu vitokee.
OkeyKikeke lipima majibu akabaini jambo...
Mmeshaanza kumkumbuka ehπππBora ya dikteta mkuu kuliko huyu shetani
Bwana akoMmeshaanza kumkumbuka ehπππ
Unajua nini kitatokea?Rais amezungumza vizuri kweli tena kwa uwazi ulio uwazi kwamba shauri hili sio la leo lilikuwepo na bw yule yule alikuwa analifahamu fika na baadhi ya wahusika wa jambo hili walikuwepo rumande kwa muda mrefu tu kabla bwana yule hajakamatwa isipokuwa bw yule ni intelligent wa kutisha sana ana akili nyingi sana akaona atafanyaje suala hile alipe mlango au mwonekano mwingine wa ki umma zaidi akaingilia kwa kasi ya katiba mpya bahati mbaya kondoo wake hawajui haya au intelegency aliyonayo kiongozi wao katika kuwatumia vyema koondoo wake,
''Rais amesaema mahakama itatupa majawabu sahihi baada ya mahakimu na wanasheria wa pande zote mbili kukabiliana kwa kina na kuja na jawabu moja tuvute subraaaaa