cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Namfahamu haswaaaa!!!Inaelekea,unampata vizuri
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namfahamu haswaaaa!!!Inaelekea,unampata vizuri
Ova
Hili limama limevuka viwango, ila kibokoo yake Joseph Muhagama, alimnyoosha kweli kweli, hadi kugawana jimboo, famchezo nn.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] halafu sijui kwann wanasiasa wanapenda uchawi?
Asomee hizo akili anazo? Huyo umuambie kujipendekeza kwa viongozi ili apate uwazirii, mxxxxiiiieeew zake.Sijamdharau ila muda wooote na Hela zoote kashindwa hata kuji update na lugha kidogo...
Kama anashindwa kusoma hivyo ataelewa Nini kwenye mikataba hiyo mikubwa may be on her own behalf, Jaji nawaza tu Kwa sauti [emoji4]
Waziri ambayee hajawahi kufanya vizuri kwa kila wizara aliyewahi kuwepo.Miongoni mwa Mawaziri ambao sijawahi kuwaelewa.... Na sijawahi kumkubali kabisa......[emoji3][emoji3][emoji3]
Anaonekana master kweliNamfahamu haswaaaa!!!
Kwenye Ulozi na ndumbaa, hapoo ndo kituoo.Anaonekana master kweli
Mimi namuitaga ngoma ngumu
[emoji1]
Kweli mwanamke wa shoka
Ova
ukimani bwana hatujawahi kua serious 🤣 mtu kama huyo eti waziri wa afya. elimu kama yangu ya super glueTo her defense, anaeleweka hiyo ni accent tu ambayo kila mtu anayo hata mizungu ikiongea Kiswahili itaongea kwa lafudhi yao. Mawaziri wa afya nchi zingine zote ni madaktari ila huyu elimu yake ya kuunga unga tu ila kila siku anapewa wizara mpya sijui anafanya nini ambacho wengine hawawezi.
View attachment 3081568View attachment 3081569
View attachment 3081570
nasikia limeungua na linapenda kurubuni vijana wadogo. uchawi nilishawahi kuambiwa ni lishenzi haswaSina ugeni na huyu mama, ukimuona kanisani pale matogoro, anakaa seat ya mbelee utasema ni malaikaa, kumbe ni shetanii mkubwaaa.
Linakazi ya kuua ndugu zake ili liwepo madarakani, huwezi kulitenganishaa na uchawi, na ulozi, linavyopenda kuwahadaa wazee wamtambikiee.
Linakera na kuboa hili limama, linachefuaa kwani hata kulitazamaa, mxxxiiiiieeeew zake.
Mama Samia kwenye uteuzi wa huyu Jenny kumpeleka Afyaa, Ni amepuyangaa, afu Amepuyangaa tenaa.Mama ameidharaulisha hiyo wizara, wizara ya elimu, afya, sheria, fedha huko kumeja maprofesa watupu unampaje mtu wizara ambaye ana vielimu vya hapa na pale, angeenda huko habari na michezo, mazingira nk
Eh humuogopi 😄Kwenye Ulozi na ndumbaa, hapoo ndo kituoo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenye Vijanaa wadogoo, % kubwa ya viongozi wanawake wasiokua na ndoa hizi ndo zao, wanawaunga vijana kwenye grid ya Taifa.nasikia limeungua na linapenda kurubuni vijana wadogo. uchawi nilishawahi kuambiwa ni lishenzi haswa
Aogopee yeye kupokeaa wizara zilizo nje ya uwezo wake,Eh humuogopi [emoji1]
Ova
Kabisa. Unless kama alikuwa Mwl. wa KiswahiliKama alikuwa anfundisha art subjects? Alaumiwe aliyemteua
well said said sir.“Everybody is a genius. But if you judge a fish by its ability to climb a tree, it will live its whole life believing that it is stupid.”
Damn, umenigusa kwakweli, how can we let peoples like ndugulile, na yule dada go halaf tuna appoint career politicians kwneye hizo positions? Its beyond meNdio maana nikasema Siasa uchwara zinagharimu hii nchi na zitaendelea kuligharimu hili Taifa kwa sababu tunaongozwa na watu wasiokuwa na vision, haiwezekani WHO wakaona potential ya Dkt Ndugulile alafu sisi tuone kuwa hawezi kuwa msaada kwetu kwenye taasisi za Afya.
ndo maana kuna somo la lugha, but ckuzaliwa na hii lughaKama hujaona tatizo jihesabu na wewe ni MLEMAVU wa lugha
Hawa ndio viongozi wetu wanao tunga sheria za nchi.Hii ni hotuba tamu ya mheshimiwa Jenister Joachim Mhagama waziri wa Afya wa JMT wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville
Hapo alikua anasoma nimejiuliza sana angekua anatoa kichwani kwake ingekuaje.
Jionee..
Nilishakutana na watu wa mataifa mbalimbali kwenye trainings mbalimbali nje ya nchi. Nobody cares about the minor mistakes, kikubwa ujumbe ufikeNa ww ndio zako nini? Au ww ndio tungepoteana zaidi nini?
Hizo kazi zinafanywa na wataalamu wa Wizara. Hivi unajua kazi ya Waziri kwenye Wizara? Waziri ana deal na sera zaidi, mtaalamu wa Wizara ni Katibu Mkuu wa Wizara na Wakurungenzi. Kama hujui uliza kuliko kubwabwaja tu kama zuzu!Ni upuuzi tu kuhalalisha huu ujinga, hawa ndio wanaosign mikataba ya kutuuza! Acha tuwe na slavery mentality kwa akili yako lkn huyu mama hana uwezo wa kusoma document ya page 600 ya mkataba toka Ulaya akawakilisha maslahi ya nchi. Hafai hata kuwa headmaster ya sekondari ya kutwa! Hata debate ya form 2 hawezi kuchangia huyu