Hotuba ya Jenista Mhagama wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville

Hotuba ya Jenista Mhagama wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville

nadhani ifike wakati tujitambue wachina wanaongea kichina hadi kwenye mikutano mikubwa ni ww kazi kwako kuelewa sasa kama tunasema kiswahili kinasifika duniani kwann tusikiongee imagine mkutano wa afrika ila mtu anabonga kingereza muharo hata mm mabaye sijasoma naweza unga maneno nikamzidi huyo mpewa cheo
 
Bungeni Sheria zinatungwa kwa kiswahili 😳.

Mahakamani wananchi wanahukumiwa kwa kiswahili?

Hospitalini dawa zimeandikwa kwa kiswahili?
 
Subiri ili tusipoteane, akitamka neno Rais kwa kiswahili, R yake huwa anaweka L? Kwanini anatamka plesident alipokuwa anasoma kiingereza?
Ungekuwa "mtaalam" wa lugha ungelijua ya kwamba, kwa watu wengi first language (mother tongue) inaathari sana kwenye second language, third language, etc. Mimi ni Mhaya, kutamka "goingi" jambo la kawaida tu! Mkurya kutamka "chakura" utamshangaa?
 
What is your conclusion??
Using English from early childhood education (chekechea) up to universities, rather than changing the medium abruptly, has several advantages:

1. Global Competitiveness: Proficiency in English prepares students for a globalized world, enhancing their employability and communication skills.

2. Access to Resource: Many academic resources, research, and technology are available primarily in English, making it essential for higher education.

3. Consistency in Learning: A continuous English education helps students build language skills progressively, improving fluency and comprehension.

4. Cultural Exchange: Learning English can facilitate cultural exchange and understanding, connecting students to a broader international community.

5. Educational Standards: It aligns local education systems with international standards, fostering collaboration and partnerships with foreign institutions.
 
nadhani ifike wakati tujitambue wachina wanaongea kichina hadi kwenye mikutano mikubwa ni ww kazi kwako kuelewa sasa kama tunasema kiswahili kinasifika duniani kwann tusikiongee imagine mkutano wa afrika ila mtu anabonga kingereza muharo hata mm mabaye sijasoma naweza unga maneno nikamzidi huyo mpewa cheo
Tunadanganyana hapa kuwa kiswahili kimesambaa hell no, kama unasafiri sana kiswahili ni small minor language hakina influence kama lugha zingine.

Wachina lugha ya imekuwa kutokana na influence waliyonayo duniani. Na pia bado kingereza kiko kwenye mitaala yao period, wanajua kabisa wakienda kwenye nchi za watu wataongea kingereza, utauzaje bidhaa europe, us without kufaham kingereza?

Huwa wanaenda kusoma vyuo vikuu Us na europe , kule masomo full english, wataelewaje kama hawajasoma?

english haikwepeki maana inatumika almost on everything, europe na us walisambaza hii lugha kutokana na influence waliyonayo duniani, today ni business language

Sisemi kiswahili ni kibaya, but unapokuwa kiongozi wajuu lazima ujue atleast basic, uweze kuelewa na kuandika na kusikiliza
 
The inability of the Minister of Health to speak fluent English at a WHO meeting can reflect poorly on Tanzania for several reasons:

1. International Representation: It affects the country's image on the global stage, as effective communication is crucial in international forums.

2. Policy Influence: Clear communication is essential for advocating health policies and initiatives that benefit the nation.

3. Public Perception: It may lead to perceptions of inadequacy in leadership, which can impact public confidence in governance.

4. Opportunities for Collaboration: Language barriers can hinder opportunities for partnerships and collaborations with other countries and organizations.
 
Ungekuwa "mtaalam" wa lugha ungelijua ya kwamba, kwa watu wengi first language (mother tongue) inaathari sana kwenye second language, third language, etc. Mimi ni Mhaya, kutamka "goingi" jambo la kawaida tu! Mkurya kutamka "chakura" utamshangaa?
Jibu nilichosema, akiongea kiswahili kwenye R anaweka L?
 
Hii ni hotuba tamu ya mheshimiwa Jenister Joachim Mhagama waziri wa Afya wa JMT wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville

Hapo alikua anasoma nimejiuliza sana angekua anatoa kichwani kwake ingekuaje.

Jionee..

Lusungo kwenye ubora wako katika fasihi🤣

Alishindwa nini kuzungumza Kiswahili?
 
A. Potential Problems:

1. Poor Communication:
Difficulty in communicating effectively in international forums could hinder the ministry's ability to engage with global health issues.

2. Lack of Collaboration:
Limited language skills might restrict partnerships with international organizations and other countries, reducing access to resources and support.

3. Loss of Direction:
Inability to understand and implement international health policies could affect the ministry's strategic direction.

4. Diminished Public Confidence: Citizens may lose trust in health leadership if they perceive a lack of competence in handling global health matters.

5. Implementation Challenges: Misunderstandings of international guidelines could lead to ineffective health programs and policies.

B. Regarding Resignation or Reassignment:

i. Resignation:
If her language skills significantly hinder her performance, resignation could be a responsible choice for the benefit of the ministry.

ii. Reassignment:
Alternatively, she could be reassigned to a role that better suits her skills, allowing her to contribute effectively without the pressure of international representation.
 
Very true
 
Back
Top Bottom