HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Afu kuna wehu wanauliza kwanini Tanzania ni masikini.To her defense, anaeleweka hiyo ni accent tu ambayo kila mtu anayo hata mizungu ikiongea Kiswahili itaongea kwa lafudhi yao. Mawaziri wa afya nchi zingine zote ni madaktari ila huyu elimu yake ya kuunga unga tu ila kila siku anapewa wizara mpya sijui anafanya nini ambacho wengine hawawezi.
View attachment 3081568View attachment 3081569
View attachment 3081570
Waziri wa Ulinzi hajawahi hata shika bino