Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Sisi tuna maendeleo gani maana tunatumia kiswahili zaidi ya 80%Hiyo ni slavery mentality tu mkuu. Tembea uone. China, Urusi, Japan, Korea Kaskazini nk. Wanamaendeleo makubwa sana wakati hawatumii Kiingereza. Na kwa taarifa yako nchi ambazo zimejitenga na kiingereza ndio zilizoendelea sana tu lakini nchi zenye kuendekeza utumwa wa akili ndio nchi zilizonyuma kimaendeleo. Mpaka tutakapojitambua ndio tutapata maendeleo ya kweli.