Hotuba ya Jenista Mhagama wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville

Hotuba ya Jenista Mhagama wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville

To her defense, anaeleweka hiyo ni accent tu ambayo kila mtu anayo hata mizungu ikiongea Kiswahili itaongea kwa lafudhi yao. Mawaziri wa afya nchi zingine zote ni madaktari ila huyu elimu yake ya kuunga unga tu ila kila siku anapewa wizara mpya sijui anafanya nini ambacho wengine hawawezi.


View attachment 3081568View attachment 3081569

View attachment 3081570
Afu kuna wehu wanauliza kwanini Tanzania ni masikini.

Waziri wa Ulinzi hajawahi hata shika bino
 
Hiyo ni accent from Mother’s tongue !
Hata huko UK vipo viingereza ukivisikiliza unaweza ukafikiri jamaa sio wazawa wa huko 😂 !

Lakini nadhani whats important ujumbe wake ulifika na hata sisi huku tumemuelewa alichokuwa akikisema kwa Kimombo 😅👍🙌
Regardless of Mother’s tongue pronouncements zake !

Jiingereza ni jigumu bandugu !
Hata Wahindi wanaongea Kiingereza cha kihindi hindi na Waarabu na wanaongea kiingereza cha kiarabu arabu, Wachina nao yale yale excepting for the few wenye accents nzuri ya hiyo lugha ya jizungu 🙏🙌
Lich out to her, ligional dilector, conglatulations, Tanzania is ploud of you😎


Ndiyo nini hicho sasa
 
Kwa namna hotuba ilivyoandikwa i likuwa nzuri sana,tatizo linakuja ni yule msomaji sasa..yule mama kachanganya sentensi pale na kachanganya na kingonj pale, mpaka wale Jamaa wakashangaa kusikia kiongozi km yule kumwaga ngeli ya vile....
 
Sawa lakini siyo kwa English hii:-

Lich out to her, ligional dilector, conglatulations, Tanzania is ploud of you😎
hata angekuwa hajui kutamka hata neno moja inatemegea anafanya shughuli gani au anasimamia nini..., sisemi kwamba anafaa bali incompetence yake taipima kwa vigezo vingine...

Ingekuwa lingo ndio capacity ya kufanya shughuli au mambo tofauti basi binafsi ningeweza kwenda toe to toe hata kwa the likes of Sun Tzu au hata kuwapita majority ya viongozi wa hii nchi..., lakini ndio hivyo it's just a tool for communication na kama kuna alternative basi sio issue...
 
Duniani kuna wahuni waliobobea na hawakutaka hizo devices kwa makusudi Tu, wao wakaona nafasi ya kwanza Ni hii wakandaa speech wakijua kwake itakuwa Cambridge exam na kweli dunia mzima imeshuhudia near miss za ulimi mara kadhaa, nafikiria hii ingetokea pale Muhimbili lazima wanafunzi na maboss wao wangemwaga chips bila kupepesa, kama ndugu tumshauri awe mwepesi wakugundua mitego kama hii toka kwa wabaya wake na kuikwepa e.g

(1) kila Safari ya nje awe mgonjwa
(2)Wafadhili weupe wakifika kwa ofisi yeye aage kuwa kuna dharula
(3) Interview yoyote inayohusu kutema mayai yaliyochanganywa na Greek, latin terms Iwe mwiko kwake,
Tujaribu kuwa karibu na uhalisia wa mazingira yetu ili tufikie malengo kwa wakati muafaka,
Hebu angalieni lile jicho ambalo Dr Ndungulile alokuwa "anakata" kumwangalia boss wake Ni kama lile la Mama wakati anamstopisha jamaa kumwaga mchele kule Arusha
Usimfundishe Mheshimiwa tabia mbaya 😅

Me nadhani kutokana na unyeti wa majukumu yao, nashauri wajiongeze Kwa kwenda hata English course

Ama akiwa nunda aende na Mkalimani tu 😜
 
Ndiyo maana JPM alikuwa anakipiga vita hicho Kiingereza

Hivi hakukuwa na option ya kuongea Kiswahili na hizo device zikatafsiri?

Nimeona Wachina wanawasilisha taarifa zao Kwa kutumia Kichainizi
Hapa JPM was far way right. Angetumia kiswahili ingefaa sana. Pamoja na kuwa affected na mother tongue lkn kosa kubwa ni kuwa she didn't even own her own speech. Anyway congratulations to Dr. Faustine Ndugulile ! Congratulations all of us!
 
Hii ni hotuba tamu ya mheshimiwa Jenister Joachim Mhagama waziri wa Afya wa JMT wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville

Hapo alikua anasoma nimejiuliza sana angekua anatoa kichwani kwake ingekuaje.

Jionee..

Hiyo Kiingereza ya darasa la saba ndio maana watu hawa hujipendekeza sana kwa wakubwa zao.
 
Hakuna aliyesema kwamba kujua kingereza ni usomi... Huyu waziri amesoma tangu form 1 kingereza mpaka amefikisha masters degree, na bado hawezi kusoma lugha aliyoisoma miaka yote hiyo?? maana yake ni kwamba hata huko darasani alikuwa haelewi anachosoma.. Angekuwa amesoma masters yake kwa kiswahili wala tusingelalamika hapa maana tungejuwa ni lugha ngeni...hata angekuwa ameongea kifaransa tungesema amejitahidi sio lugha anayoifahamu
Huwez ukasoma current lessons bila kingereza, mitaala kingereza, syllabus kingereza, vitabu kingereza.
I dont undermine kiswahili but fact ni kuwa huko nje hakina influence yoyote, hakina power tofauti na english ambayo iko kwenye vitabu, vifaa unavyonunua, pesa, na ndio business language ya dunia.

Unapoenda kwenye uga wa kimataifa every international country iwe asia, au europe to south america, wanasoma kwa lugha zao lakin pia english ni mandatory.
 
Hiyo ni slavery mentality tu mkuu. Tembea uone. China, Urusi, Japan, Korea Kaskazini nk. Wanamaendeleo makubwa sana wakati hawatumii Kiingereza. Na kwa taarifa yako nchi ambazo zimejitenga na kiingereza ndio zilizoendelea sana tu lakini nchi zenye kuendekeza utumwa wa akili ndio nchi zilizonyuma kimaendeleo. Mpaka tutakapojitambua ndio tutapata maendeleo ya kweli.
Salvery mentality ni kwake mwenye akili ya kukimbilia kiingereza na hakijui mwisho kimemuumbua.

Angekua na utimamu angetumia kiswahili
 
Back
Top Bottom