Hotuba ya Jenista Mhagama wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville

Si nasikia wizara ya afya donors ndio kama nyumbani kwao. Sasa kila siku utakuwa unasingizia tumbo la kuharisha kweli. Ni wakati sasa tuongee tu kiswahili chetu, donors waje na wakalimani wao
 
Si nasikia wizara ya afya donors ndio kama nyumbani kwao. Sasa kila siku utakuwa unasingizia tumbo la kuharisha kweli. Ni wakati sasa tuongee tu kiswahili chetu, donors waje na wakalimani wao
... 'waje na mkalimani wao'... Teknolojia ya mawasiliano ya sasa hivi haiihitaji kutembea na mkalimani.
 
Hizi ndizo tunasema akili za kitumwa. Nenda Urusi kama utafundishwa kwa Kiingereza. Madaktari wazuri hapa TZ ni wale wamesoma Udaktari wao huko Urusi na walitumia Kirusi.
ACha utoto Urusi ndo ufananishe na Tanzania mzima kweli kwa nchi changa kama Tanzania kujua kingereza ni lazima sio Ombi tena level ya waziri Come on Ona aibu kutetea Ujinga
 
Mtu amekuwa waziri wa wizara tofauti kwa karibu miaka 20 unataka kusema huko serikalini na hiyo mamlaka ya teuzi haijui uwezo na limitations zake.

Shida sio Jenista uwezo wake sio siri kwenye jamii, shida ni watu wanaompa wizara kubwa.

Mind you huko afya atakuwa anakutana na wageni wa kimataifa mara kwa mara ambao lazima ateme un’gen’ge kwenye maongezi na mipango.

Binafsi wala sishangai chochote cha ajabu atakachofanya huwezo wake unajulikana.

Huko serikalini hasa MaCCM wametengeneza utamaduni wa kuamini yeyote anaweza lolote, wapo misfits wengi tu kwenye nafasi kubwa Tanzania kwa kuteuliwa na raisi.

Shida ya Jenista labda kuwekwa eneo ambalo ni kama vile serikali haipo serious na maisha ya watu. Wapachikane huko mazingira sijui menejiment na kwengineko sio mahala sensitive.
 
Hiyo ndo gharama ya watu wajinga kukimbilia madaraka Tanzania ina watu milioni 60 unafikiri watu wenye akili hawapo ila wameamua kujiweka pembeni kama nchi haiwausu vile ndo gharama yake sasa
 
ACha utoto Urusi ndo ufananishe na Tanzania mzima kweli kwa nchi changa kama Tanzania kujua kingereza ni lazima sio Ombi tena level ya waziri Come on Ona aibu kutetea Ujinga
Kwani kulikuwa na ulazima wa yeye kutumia kingereza kwanini asingetumia lugha yetu ya kiswahili kama wanavyofanya mataifa mengine ambayo yanatumia lugha zao mfano ...india ,china,ujerumani,na mengine mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…