Hotuba ya Jenista Mhagama wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville

Yes, ni vizuri kufanye effort. Lakini kwa upande wangu alijitahidi sana na huo ndio uwezo wake kwa sasa. Kiingereza hakitumiki Tanzania in daily conversation. Kwa hiyo, inabaki effort ya kila mmoja wetu kujitahidi angalau kuboresha fluency. Hata mimi fluency yangu imepungua kuliko ilivyokuwa by 2003 nilipokuwa nakitumia kwenye daily conversation. Ila katika kuandika, labda hapo nime'improve' zaidi maana nasoma na kuandika Kiingereza almost kila siku, ila sipati fursa nyingi za ku'practise' spoken English na hivyo usipofanya hivyo kwa muda mrefu, ulimi unakuwa mzito, unless kama unasoma loudly kila siku.
 
“Amejitahidi”. Tuna individuals hapa nchini ambao wana uwezo wa kuongea na kuandika fluent english, ni wasomi doctors and masters. Haswa doctor wa afya ambao wengi masters na phds wanasomea nje.
Why hiyo position anapewa career politician ambae ni under performer wakati kuna professionals wangefit hapo?

Uwaziri ni nafasi nyeti, why tunawapa watu ki chama ki kada na si kiuwezo?
The way ameenda kule anapresent nchi, kiongoz hata basic english ni tabu, taswira ya nchi inachafuka
 
ACha utoto Urusi ndo ufananishe na Tanzania mzima kweli kwa nchi changa kama Tanzania kujua kingereza ni lazima sio Ombi tena level ya waziri Come on Ona aibu kutetea Ujinga
Akili za kitumwa zinakusumbua tu kiongozi. TZ tuna rasilimari kibao hivyo zinatosha kuwafanya hao mabwana zako kutufuata na kujifunza lugha yetu. Tatizo lilianza mwaka huu hapa chini.
 
Kujikomboa kwa fikra, kitamaduni au kwa lugha ni shida sana kwa nchi .. Kwani angetoa hotuba kwa kiswahili kuna shida gani?
 
You are right. Teuzi zingekuwa zinafuata ubobezi katika taaluma fulani - iwe elimu, afya, sheria, madini, kilimo, mawasiliano na habari, mazingira, uwekezaji, etc. Lakini baadhi hazifuati utaratibu huu, na sijui kwa nini. Tatatizo linaweza kujitokeza kwamba waziri anaweza kutoa maagizo ambayo watekelezaji kitaaluma wanaona haiwezekani. Sasa ikitokea hivyo sijui uamuzi unakuaje: kufuata maagizo au utaalamu unavyoelekeza?
 
Hii ni hotuba tamu ya mheshimiwa Jenister Joachim Mhagama waziri wa Afya wa JMT wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville

Hapo alikua anasoma nimejiuliza sana angekua anatoa kichwani kwake ingekuaje.

Jionee..

Yaani kusoma tu kimombo kilichoandikwa kinaonesha udhaifu mkubwa wa umahiri wa lugha, kweli jinsia wanabebwa aisee!!!
 
Sawa, Kwani hao watz wengine unaosema hawajui kingreza nao ni mawaziri??
Kuwa waziri na kujua kiingereza kwa ufasaha kuna uhusiano gani ?
Au hujui kama kuna PS wa wizara?
Magufuli na Kikwete wote hakuna aliyekuwa anazungumza kiingereza kilichonyooka na bado waliweza kuwanyoosha mkawafurahia.
Mind you matatizo ya nchi hii hayatatatuliwa kwa uhodari wa waziri au viongozi wengine kuongea kiingereza kwa ufasaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…